Mifugo

- Binadamu, Mifugo

Namna ya kutayarisha maziwa mtindi

Maziwa ya mtindi ni maziwa mabichi ya ng’ombe yaliyoganda na mara nyingi yanakuwa na hali ya uchachu. Maziwa haya hutumika kama kinywaji au kiambaupishi katika mapishi mbalimbali. Mahitaji Maziwa mabichi safi na salama Kimea cha maziwa Vifaa vinavyohitajika Sufuria / keni safi ya kuchemshia Chombo (container) ambacho utaweza kuhifadhi mtindi unaoendelea kuchachuka (fermenting) na kiwekwe katika hali ya usafi ili…

Soma Zaidi

- Mifugo

Nyuzinyuzi ni chakula muhimu katika mwili wa binadamu

Nyuzinyuzi hupatikana kirahisi kwa familia kwa wakulima. Hii ni pamoja na nafaka zisizokobolewa,njugu  karanga,  kunde,  matunda  na mboga.  Ni chanzo muhimu cha chakula kwa bakteria chenye faida kwenye utumbo. Inawezakusaidia kudhibiti uzito na kupunguza hatari kwa ugonjwa wa moyo. Nyuzinyuzi (Roughage), pia inajulikana kama nyuzinyuzi, ni   sehemu ya wanga ya mimea ambayo haiwezi kumeng’enywa na      mwili wa binadamu. Yenyewe huvunjwa…

Soma Zaidi

- Kilimo, Kilimo Biashara, Masoko, Mazingira, Mifugo, Udongo

WALISEMA WAHENGA UKITAKA MALI UTAIPATA SHAMBANI, NASI TWASEMA, UKITAKA KUFANIKIWA KATIKA KILIMO SOMA JARIDA LA MkM

Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna kilimo bila maarifa na maarifa haya sisi kama Mkulima Mbunifu tukiwezeshwa na Biovision na kusimamiwa na Biovision Africa Trust (BvAT) wakishirikiana na Sustainable Agriculture Tanzania (SAT) tunasisitiza kuwa ili ufanikiwe katika uzalishaji wa mazao na mifugo, soma jarida la Mkulima Mbunifu, HAKIKA NI KISIMA CHA MAARIFA

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Masoko, Mazingira, Mifugo, Udongo

FOATZ ni moja ya shirika linalowawezesha wakulima kupitia majarida ya Mkulima Mbunifu

Mashirika mbalimbali yakiwepo ya Umma, taasisi binafsi wamekuwa wakitumia majarida ya Mkulima Mbunifu katika kutoa elimu ya uzalishaji kwa misingi ya kilimo hai kwa wakulima wao jamno ambalo limeleta chachu katika usambazaji wa taarifa za kilimo huku ikiwapa wakulima matokeo chanya katika uzalishaji. Moja ya shirika linalojivunia jarida la Mkulima Mbunifu ni shirika la FOATZ FUNGUA HAPA KUJUA ZAIDI Organic…

Soma Zaidi

- Kilimo, Masoko, Mifugo

TERMS OF REFERENCE (TORs)FOR THE RECRUITMENT OF AN EOA TRAINERS’ MANUAL DESIGNER

General Information Services/Work Description: Recruitment of Consultant to review, complete and design the layout with illustrations of the Ecological Organic Agriculture Trainers’ Manual Project/Program Title: KHEA Post Title: EOA Trainers’ Manual Designer Duty Station: Virtual Duration: 3 weeks Expected Start Date: After Signing the contract and inception meeting 1. BACKGROUND Biovision Africa Trust (BvAT) is the lead coordinating agency of the Knowledge Hub for Organic Agriculture…

Soma Zaidi

- Kilimo, Mifugo

Jinsi ya kushirikiana na Mkulima Mbunifu

Sasa unaweza kushirikiana na jarida la MkM kutoa mafunzo na habari kwa wakulima kuhusu mbinu na teknolojia tofauti zinazowezesha kuboresha uzalishaji na kuleta faida kwa mkulima na jamii kwa ujumla. Hii ni fursa ya kuwekeza zaidi katika kufikisha matokeo ya utafiti na ubunifu unaowanufaisha wakulima kwa wakulima wenyewe.  Kuna tafiti nyingi tu lakini njia za kusambaza kwa wakulima ni chache…

Soma Zaidi

- Mifugo

AZOLA KWENYE KILIMO HAI NI TUNU

Azola ni majani au magugu ambayo huota sehemu yenye maji kwa wingi. Mmea huu umekua ukitumiwa zaidi na wafugaji kama chakula mbadala kwa kuku. Majani haya huliwa na kuku yakiwa mabichi au yakivunwa na kuanikwa kisha kuchanganywa kwenye chakula cha kuku. Azola hutumika kulisha mifugo mingine kama vile bata, ng’ombe, nguruwe, mbuzi, kondoo, sungura na pia ni chakula kizuri kwa…

Soma Zaidi

- Mifugo, Usindikaji

Sindika maziwa kupata jibini na kuongeza pato

Jibini ni zao linalotengenezwa kwa kutumia maziwa. Zao hili hupatikana kwa kugandisha maziwa kwa kutumia rennet na kimea na baadaye kuondoa sehemu ya maji baada ya maziwa kuganda. Jibini inaweza kutengenezwa kuwa laini, ngumu kiasi au ngumu kabisa. Ili kutengeneza jibini, ni lazima kuwa na malighafi mbalimbali zitazoweza kutumika. Mahitaji Maziwa yenye mafuta yasiyozidi asilimia 3 Kimea Rennet Mashine ya…

Soma Zaidi

- Mifugo

TUMIA DAWA ZA ASILI KUTIBU MAGONJWA MBALIMBALI YA MIFUGO

Yapo magonjwa mbalimbali ambayo mfugaji hasa aliyeko kijijini anaweza kuyatibu kwa kutumia dawa za asili ambazo pia zainapatikana katika maeneo yao bila hata kutumia dawa za madukani. Faida ya kutumia dawa hizi ni kubwa kwani husaidia kuokoa maisha ya mfugo kwa haraka zaidi kama huduma ya madaktari iko mbali, hupunguza gharama za kununua dawa pamoja na kumlipa afisa mifugo. Mimea…

Soma Zaidi

- Mifugo

MAYAI YANAWEZA KUHIFADHIWA KWA MUDA MREFU BILA KUHARIBIKA

Wakulima wanaowekeza kwenye mradi wa kuku, hupata hasara pale ambapo hawatunzi mayai ipasavyo. Mayai ni bidhaa hafifu na inayoharibika kwa haraka, hivyo, ni lazima ishikwe kwa uangalifu na kutunzwa vizuri baada ya kutagwa ili yasivunjike au kuharibika. Watu wengi wanaonunua mayai kutoka dukani watatambua mara moja kuwa mayai hayo yamevunjika au yameoza. Tatizo hili linaweza kutokana na utunzaji na uhifadhi…

Soma Zaidi