- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Masoko, Mazingira, Mifugo, Udongo

FOATZ ni moja ya shirika linalowawezesha wakulima kupitia majarida ya Mkulima Mbunifu

Sambaza chapisho hili

Mashirika mbalimbali yakiwepo ya Umma, taasisi binafsi wamekuwa wakitumia majarida ya Mkulima Mbunifu katika kutoa elimu ya uzalishaji kwa misingi ya kilimo hai kwa wakulima wao jamno ambalo limeleta chachu katika usambazaji wa taarifa za kilimo huku ikiwapa wakulima matokeo chanya katika uzalishaji.

Moja ya shirika linalojivunia jarida la Mkulima Mbunifu ni shirika la FOATZ

FUNGUA HAPA KUJUA ZAIDI

Organic Farming in Njombe

Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *