News

Zalisha na kutunza malisho kwa jili ya mifugo

18/04/2024

Majani ya malisho ya umuhimu mkubwa kwa mfugaji wa ng’ombe, mbuzi na kondoo. Bila malisho ya kutosha mfugaji atagaramika kwa...

Unaanzaje kilimo hai

25/01/2024

Kumekua na maswali kadhaa juu ya kuanzisha kilimo hai. Yamkini,...

WEBSITE DESIGNER

01/12/2023

Terms of Reference: Updating Mkulima Mbunifu Website - www.mkulimambunifu.org About...

Za hivi karibuni

Zalisha na kutunza malisho kwa jili ya mifugo

18/04/2024

Majani ya malisho ya umuhimu mkubwa kwa mfugaji wa ng’ombe, mbuzi na kondoo. Bila malisho ya kutosha mfugaji atagaramika kwa kununua nyasi hasa wakati wa kiangazi. Kuwa na malisho ya kutosha inampa mkulima amani na hakikisho kwamba mifugo wake wanapata...

Mazao ya Chakula yasiyopewa kipaumbele yenye Afya.

18/04/2024

Mazao yasiyopewa kipaumbele yenye afya, au "Neglected and Underutilized Crops (NUS)," ni mazao ambayo mara nyingi hupuuzwa au kutotumika ipasavyo licha ya faida zao za lishe na afya. Hizi ni aina za mazao ambayo hayajapata umaarufu au uwekezaji wa kutosha...

Je, unayafahamu haya kwenye ufugaji wa Samaki?

17/04/2024

Wakulima wengi hasa wanaotumia maji ya bomba wangependa kuanza ufugaji wa samaki lakini huenda kuna mambo kadha wa kadha hawafahamu kuhusu ufugaji kwa kutumia maji ya bomba. Aidha, mambo ni mengi ya kuzingatia ili kuanza ufugaji wa samaki lakini tuanze...

Namna ya kuongeza rutuba ya udongo

17/04/2024

Ongezeko la uhitaji wa chakula duniani kutoka katika eneo lile lile dogo linalotumika kwa uzalishaji, huku ardhi hiyo ikikabiliwa na madhila kama vile mmomonyoko wa ardhi mabadiliko ya tabia nchi na ongezeko la wadudu na magonjwa kumeathiri uzalishaji kwa kiwango...

Tumia mitego kunasa wadudu wkenye matunda na mboga

09/04/2024

Kutengeneza mitego mwenyewe Ili kutengeneza mtego wa kunata, sambaza petroleum jeli au oili chafu kwenye mbao laini, iliyopakwa rangi ya njano (ukubwa wa sm 30 kwa sm 30). Weka mitego karibu na mimea lakini ikae mbali kidogo kutoka kwenye shina...