News

Fahamu kuhusu wadudu waharibifu wa mahindi (Viwavijeshi vamizi)

25/04/2024

Mahindi ni zao muhimu na tegemezi kwa jamii nyingi barani Afrika. Nchini Tanzania zao hili hulimwa mikoa yote kwani ni...

Unaanzaje kilimo hai

25/01/2024

Kumekua na maswali kadhaa juu ya kuanzisha kilimo hai. Yamkini,...

WEBSITE DESIGNER

01/12/2023

Terms of Reference: Updating Mkulima Mbunifu Website - www.mkulimambunifu.org About...

Za hivi karibuni

Fahamu kuhusu wadudu waharibifu wa mahindi (Viwavijeshi vamizi)

25/04/2024

Mahindi ni zao muhimu na tegemezi kwa jamii nyingi barani Afrika. Nchini Tanzania zao hili hulimwa mikoa yote kwani ni zao tegemezi kwa chakula. Hata hivyo, zao hili lina changamoto, kwani hushambuliwa na visumbufu mbalimbali vya mimea ikiwamo viwavijeshi vamizi (Fall armyworm)....

Tumia molasi kurejesha rutuba ya udongo

24/04/2024

Katika kilimo, matumizi ya Molasi ni muhimu kwa kuboresha hali ya udongo, kudhibiti wadudu, kuwezesha udongo kuwa na rutuba, kurekebisha hali ya udongo na pia kupunguza matatizo kwa mimea inayopandikizwa. Matumizi na kiasi cha kutumia Kuboresha umbile la udongo. Molasi...

Fuga mbuzi uongeze kipato mbadala

24/04/2024

Mbuzi ni mnyama mdogo lakini mwenye faida kadha wa kadha na huweza kutunzwa eneo na kwa gharama ndogo. Kwa jamii nyingi za kiafrika, mbuzi kama kuku, ni moja ya mnyama anayefugwa kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Katika jamii nyinginezo, hufuga...

23/04/2024

<iframe src="https://ee.kobotoolbox.org/i/ySYSCHB4" width="800" height="600"></iframe>

Zalisha na kutunza malisho kwa jili ya mifugo

18/04/2024

Majani ya malisho ya umuhimu mkubwa kwa mfugaji wa ng’ombe, mbuzi na kondoo. Bila malisho ya kutosha mfugaji atagaramika kwa kununua nyasi hasa wakati wa kiangazi. Kuwa na malisho ya kutosha inampa mkulima amani na hakikisho kwamba mifugo wake wanapata...