- Kilimo, Kilimo Biashara, Masoko, Mazingira, Mifugo, Udongo

WALISEMA WAHENGA UKITAKA MALI UTAIPATA SHAMBANI, NASI TWASEMA, UKITAKA KUFANIKIWA KATIKA KILIMO SOMA JARIDA LA MkM

Sambaza chapisho hili

Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna kilimo bila maarifa na maarifa haya sisi kama Mkulima Mbunifu tukiwezeshwa na Biovision na kusimamiwa na Biovision Africa Trust (BvAT) wakishirikiana na Sustainable Agriculture Tanzania (SAT) tunasisitiza kuwa ili ufanikiwe katika uzalishaji wa mazao na mifugo, soma jarida la Mkulima Mbunifu, HAKIKA NI KISIMA CHA MAARIFA

Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

2 maoni juu ya “WALISEMA WAHENGA UKITAKA MALI UTAIPATA SHAMBANI, NASI TWASEMA, UKITAKA KUFANIKIWA KATIKA KILIMO SOMA JARIDA LA MkM

  1. Mafunzo ni mazuri na nimepenedezwa nayo pia nitaomba nijifunze zaid kuhusu kilimo Cha mazao mengi ili kuweza kukuza maarifa na kukuza uchumi binafsi na nchi kwa ujumla na hata Dunia nzima

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *