- Kilimo

TUSHIRIKISHE CHANGAMOTO UNAZOKUMBANA NAZO KATIKA KILIMO NA UFUGAJI MSIMU HUU WA MVUA

Sambaza chapisho hili

Huu ni msimu wa mvua katika maeneo mengi nchini. Bila shaka wengi wetu ni wakulima na wafugaji hivyo bado tunaendelea na shughuli zetu za kila siku.



Je, ni changamoto zipi unazopitia katika msimu huu wa mvua kwenye shughuli zako za kila siku za kilimo?

Tushirikishe/tueleze/Tuulize ili tuweze kupeana ushauri nini chakufanya

Tuma ujumbe wako hapahapa au kupitia namba 0762 333 876 au tuma ujumbe wako kupitia facebook – mkulimambunifu

Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *