Usindikaji

- Usindikaji, Viazi vitamu

Jifunze njia rahisi ya kukausha viazi vitamu

Viazi vitamu ni moja ya mazao ya mizizi ambayo huvumilia ukame. Zao hili hulimwa karibu katika mikoa yote. vitamu hasa vya rangi ya karoti vina virutubishi vya vitamini A kwa wingi ambavyo vinahitajika sana katika mwili. Kulingana na uzalishaji mwingi ni muhimu kukausha viazi vitamu ili kuviongezea thamani, ubora na matumizi yake. Viazi vitamu husindikwa pia ili kupata viazi vilivyokaushwa,…

Soma Zaidi

- Binadamu, Usindikaji

Sindika maziwa kuongeza pato na uepuke hasara

Kabla ya kusindika maziwa ya mgando au mabichi ni lazima kufanya vipimo vya awali ili kujua kama maziwa yanafaa kusindika au hayafai. Kipimo kikubwa kinachotumika kupima maziwa ni alkoholi (Ethanol) Kipimo hiki hutumika kutambua maziwa yaliyoharibika na maziwa yaliyoanza kuganda. Namna ya kupima Chukua kiwango kinacholingana cha Alkoholi (ethanol) na maziwa mabichi kisha changanya pamoja kwa kuweka katika chombo maalum…

Soma Zaidi

- Mifugo, Usindikaji

Unaweza kusindika ngozi kiasili kupata bidhaa bora

Usindikaji wa viwandani unahitaji mitambo mikubwa, maeneo makubwa nguvu kazi kubwa, malighafi nyingi. Hivyo inahitaji mtaji mkubwa. Njia hii pia inahitaji kemikali za viwandani hivyo sio rafiki kwa mazingira. Usindikaji wa asili  ni rahisi kwani malighafi za uchakataji hupatikana katika mazingira yanayotuzunguka. Njia hii inashauriwa sana kwa wajasiriamali wadogo wadogo ambao hawana mitaji mikubwa na unaweza kuchakata ngozi moja kwa…

Soma Zaidi

- Usindikaji

Usindikaji wa Mvinyo kwa matunda ya asili

Vijana wanaweza kujikwamua kiuchumi kwa kusindika mazao kutumia malighafi za hapa nchini. Mvinyo ni neno linalotokana na neno la kireno vinho, ni kinywaji kinacho tengenezwa kutokana na majimaji ya matunda mbalimbali. Kuna aina nyingi za mvinyo kufuatana na matunda yaliotumika. Katika Makala hii Mkulima Mbunifu inaangazia Kijana wa kike kutoka mkoani Mbeya alivyoamua kujitoa kimasomaso katika kusindika matunda kupata mvinyo…

Soma Zaidi

- Mifugo, Samaki

Tahadhari za kuchukua nyakati za msimu wa mvua katika ufugaji samaki

Ufugaji wa samaki una kanuni na taratibu za kufuata ili kuendana na mabadiliko ya hali ya hewa. Msimu wa masika ni muhimu kuufuatilia ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza. Katika makala hii Mkulima Mbunifu linakuangazia hatua muhimu za kuzingatia wakati wa masika ili kufanya ufugaji samaki wenye tija. Nyakati za msimu wa mvua ni vema kuzingatia hatua zifuatazo ili kuepuka madhara…

Soma Zaidi

- Maziwa, Usindikaji

Utunzaji, uhifadhi na usafirishaji bora wa Maziwa

Ni muhimu kujua baadhi ya mambo ambayo husababisha maziwa kuharibika ili uweze kuzuia hasara zisizokuwa za lazima. Maziwa yana virutubisho vingi sana. Kwa sababu hiyo, bakteria waharibifu huweza kukua kwa haraka kwenye maziwa. Kwa wasafirishaji wa maziwa, nii muhimu kufahamu vyema jinsi maziwa yanavyoweza kuharibika haraka kama hayatatumika na kuhifadhiwa vizuri au hayatasafirishwa kwa haraka. Ni muhimu kuwa na uelewa…

Soma Zaidi

- Kilimo, Ngozi, Usindikaji

Mkulima anaweza kujiongezea kipato kwa usindikaji wa ngozi

Ngozi hukaushwa ili kuzuia uharibifu unaotokana na kuoza kwa kuwa si ngozi zote zinazozalishwa hupelekwa kiwandani zikiwa mbichi ili kusindikwa. Ngozi zikioza hupoteza ubora wake na hivyo kutokuwa na manufaa katika matumizi mbalimbali. Ngozi ni zao la mifugo linaloweza kutoa mchango mkubwa kuwainua kiuchumi wafugaji na jamii kwa ujumla. Baadhi ya wajasiriamali hutengeneza bidhaa mbalimbali kutokana na ngozi ya ng’ombe,…

Soma Zaidi