- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Mazingira, Mifugo, Mimea, Redio, Shuhuda, Usindikaji

TUNAOMBA RADHI KWA KUCHELEWA KUTUMA JARIDA LA OKTOBA

Sambaza chapisho hili

Habari ndugu msomaji wa jarida la Mkulima Mbunifu.

Ni matumaini yetu kuwa uko salama na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku.

Tunaomba radhi kwa kuchelewa kukutumia nakala yako ya jarida la Mkulima Mbunifu. Hii ni kutokana na kuwepo kwa changamoto kidogo zilizokuwa nje ya uwezo wetu ambazo zimepelekea kusindwa kuchapisha nakala ya mwezi Oktoba kwa wakati.

Jarida hili litakufikia siku si nyingi kwani tunakamilisha utaratibu wa kutuma.

ASANTE SANA NA KARIBU MKULIMA MUNIFU.

Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *