- Kilimo, Usindikaji

Ukaushaji wa mbogamboga

Sambaza chapisho hili

Kikundi cha usindikaji cha mbogamboga na matunda kutoka SAT (Sustainable Agriculture Tanzania)

Mbogamboga jamii ya majani

  1. Majani ya maboga na mchicha
  • Chagua majaNi  mabichi na laini
  • Chambua mboga na kuondoa nyuzinyuzi
  • Osha majani yako kwa maji safi
  • Tumbukiza mboga kwenye maji ya vuguvugu kwa dakiki 3-5 ,kisha weka mboga kwenye maji ya baridi Kwa dakika 1 ipoe ili kuzia kuendele kuiva zaidi
  • Toa na iache mboga ichuje maji
  • Wekakatika matrey tayari kwa kukausha
  • Kausha mboga ikauke vizuri kwa mda wa siku 3(pia itategemea hali ya hewa husika)

Ukaushaji wa mchicha

Hatua ya kwanza

Hatua ya pili

Hatua ya tatu

Hatua ya nne

 

Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *