- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kuku, Kutuhusu, Machungwa, Mafuta, Mananasi, Masoko, Mazingira, Maziwa, Mifugo, Mimea, Mtama, Nanaa, Nazi, Ngozi, Redio, Samaki, Samaki, Shuhuda, Soya, Udongo, Usindikaji, Viazi vitamu

Sikiliza vipindi vya redio vya Mkulima Mbunifu

Sambaza chapisho hili

Tunapenda kuwataarifu na kuwakumbusha wasomaji wetu kusikiliza vipindi vya radio vya Mkulima Mbunifu Vinavyosikika kupitia TBC Taifa kila siku ya jumamosi saa mbili na robo usiku (2:15) na marudio siku ya alhamisi saa tisa na nusu mchana (9:30)

Kupitia vipindi hivi, MkM inatoa elimu stahiki kwa kurusha mada mbalimbali kwa wakulima wadogo na hata wakubwa, kuweka kipaumbele katika kuthamini misingi ya asili ya kilimo pamoja na ufugaji na kuweka kipaumbele katika uzalishaji wa chakula na usalama wa lishe kupitia mbinu mbalimbali na misingi ya kilimo endelevu.

MkM pia inajaribu kuimarisha ushiriki wa wakulima katika juhudi za pamoja kwenye kutatua matatizo ya kilimo pamoja na kukuza falsafa na mbinu za kilimo endelevu.

Fungulia redio yako na jifunze kwa vitendo mbinu mbalimbali za kilimobiashara ili uweze kukuza na kuendeleza kilimo bila kusahau kuwaeleza majirani zako kuhusu vipindi vya Mkulima Mbunifu.

 

Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *