Mifugo

- Mifugo

Chanja kuku kuepuka magonjwa yanayoambatana na mvua

Wafugaji wamekua wakijisahau juu ya umuhimu wa chanjo kwa mifugo, Katika msimu wa mvua za masika, mifugo mingi imekua ikiathirika ku­tokana na magonjwa mbalimbali yanayosababishwa na bacteria pia virus. Wafugaji wa kuku haswa wakienyeji, wameishia kupoteza mifugo yao kutokana na kutozingatia chanjo. Mara nyingi mvua hizi huambatana na magonjwa mengi kwa kuku kama vile gumboro, ndui ya kuku, kideri, kipindupindu…

Soma Zaidi

- Mifugo

Taarifa muhimu kuhusu ufugaji wa mbuzi

Mbuzi na kondoo ni wanyama ambao wanaweza kufugwa kwa gharama nafuu pia ni wavumilivu wa ukame na maradhi tofauti na ngo’mbe kwa kua wana umbile dogo wanaweza kufugwa katika eneo dogo na nguvu kazi ndogo na hata kwa wenye kipato kidogo. Katika makala hii Mkulima Mbunifu inangazia kuhusu ufugaji wa Mbuzi. Makala kama hii inaweza kua umeshasoma, ila kwaajili maombi…

Soma Zaidi

- Mifugo

Namna ya kuanza kilimo hai

Kumekua na maswali kadhaa juu ya kuanzisha kilimo hai. Yamkini, wewe pia unajiuliza swali hili, vile unavyoweza kuzalisha kwa mfumo wa kilimo hai shambani mwako. Jarida la Mkulima Mbunifu ni mahususi kwa ajili yako na katika makala hii tunakukumbusha tena. Kama una nia thabiti ya kuanzisha kilimo hai, fuata hatua zifuatazo; Angalia uwezekano wa kupata soko kwanza Jiulize mwenyewe: Ni…

Soma Zaidi

- Mifugo

Changamoto katika kilimo na ufugaji msimu wa mvua

Kilimo katika msimu wa mvua Huu ni msimu wa mvua katika maeneo mengi nchini. Bila shaka wengi wetu ni wakulima na wafugaji hivyo bado tunaendelea na shughuli zetu za kila siku. Je, ni changamoto zipi unazopitia katika msimu huu wa mvua kwenye shughuli zako za kila siku za kilimo? Tushirikishe/tueleze ili tuweze kupeana ushauri nini chakufanya Tuma ujumbe wako hapa…

Soma Zaidi

- Mifugo, Samaki

Tahadhari za kuchukua nyakati za msimu wa mvua katika ufugaji samaki

Ufugaji wa samaki una kanuni na taratibu za kufuata ili kuendana na mabadiliko ya hali ya hewa. Msimu wa masika ni muhimu kuufuatilia ili kuepuka madhara yanayoweza kujitokeza. Katika makala hii Mkulima Mbunifu linakuangazia hatua muhimu za kuzingatia wakati wa masika ili kufanya ufugaji samaki wenye tija. Nyakati za msimu wa mvua ni vema kuzingatia hatua zifuatazo ili kuepuka madhara…

Soma Zaidi

- Mifugo

Ulishaji wa majani makavu: Usisahau maji

Kabla ya kulisha wanyama majani makavu ni muhimu sana kufahamu ni kwa namna gani yanahitajika kulisha kwani majani haya ni tofauti na majani mabichi. Kiwango cha majani makavu kiwe kidogo zaidi ya majani mabichi. Robota moja la kilo 15 la majani makavu ni sawa na kilo 75 za majani mabichi, na yanaweza kulishwa kwa ng’ombe anaetoa maziwa vizuri mara moja…

Soma Zaidi

- Mifugo

Fuata kanuni sahihi za kilimo upate mavuno bora

Wakulima walio wengi wamekuwa wakijikita zaidi katika matumizi ya mbolea    ili kupata matokeo mazuri katika kilimo,  na kusahau kuwa kanuni bora za uzalishaji pia huchangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka na kupatikana kwa mavuno yenye ubora. Nini cha kuzingatia ili kupata mavuno bora Ni lazima mkulima kufuata utaratibu wa uzalishaji wa mazao katika kila msimu wa kilimo. Hatua zifuatazo ni lazima…

Soma Zaidi