Uelewa wa mahitaji ya mimea humwezesha mkulima kuchukua hatua kuimarisha udongo ili kulisha mimea na kuongeza mavuno. Katika kilimo, rutuba kwenye udongo na upatikanaji wa maji ni mambo muhimu ya kuzingatia kwani huweza kuathiri uzalishaji, usalama wa chakula, na wa mazingira. Hivyo basi, mkulima anapotunza udongo anatarajia kwamba udongo huo utaweza kulisha mimea na kuzalisha mimea, inayoweza kustahimili magonjwa, athari…
Mifugo
Athari za ukame kwa mifugo na namna ya kukabiliana nayo
Ukosefu wa mvua umeathiri wafugaji na mifugo yao kwani maeneo ya malisho yanakauka na maji hayapatikani. Hii imepelekea maeneo mengi ya malisho kukauka na pia wafugaji wengi kuhama na mifugo yao ili kutafuta maeneo yenye maji na malisho. Athari za ukame zimeonekana wazi katika maeneo mengi ya wafugaji. Mifugo kukonda, afya za mifugo imezidi kuwa mbaya kutokana ukosefu wa…
Biovision Foundation visit to Tanzania [Mkulima Mbunifu]
MkM project had an opportunity to meet with Biovision foundation, the donors of FCP program [Dr. Franklin Eyhorn [Executive Director] and [Martin Schmid] Co-Head Development Projects on 14th and 15th March 2022. The team selected farmer groups and partners to visit [within Arusha and Kilimanjaro] to allow for Biovision Foundation explore the project engagement with different partners and how useful has been…
Fahamu maandalizi muhimu kabla ya nguruwe kuzaa
Nguruwe wanaozaa kwa mara ya kwanza wanaweza kupelekwa kwenye nyumba ya kuzalia masaa machache kwa siku kutoka siku kumi kabla ya siku ya kuzaa ili waweze kuzoea mazingira. Mara nyingi tumekuwa na makala zinazoelezea ufugaji wa nguruwe katika nyanja tofauti, ikiwa ni pamoja na aina, matunzo na magonjwa ya nguruwe na hata bidhaa zinazotokana na nguruwe na usindikaji wake. Katika…
Kinga dhidi ya magonjwa
Magonjwa yaenezwayo na kupe Ndigana kali, ndigana baridi, kukojoa damu na moyo kujaa maji. Kinga: Ogesha wanyama wako kwa kutumia dawa ya kuua kupe mara moja kwa wiki. Magonjwa yaenezwayo na mbung’o Ndorobo ni ugonjwa mkuu uletwao na mbung’o Kinga: Wachanje ng’ombe kwa kutumia dawa iitwayo samorini kila baada ya miezi mitatu. Magonjwa yasababishwayo na virusi Ugonjwa wa midomo na…
Dondoo muhimu za ufugaji bora wa ng’ombe
Ng’ombe ni mifugo ambayo inategemewa sana na wananchi walio wengi hapa nchini. Kuna aina tatu za ng’ombe wafugwao hapa nchini ambayo ni ng’ombe wa kisasa, kienyeji, na machotara. Zifuatazo ni faida zipatikanazo na ufugaji wa ng’ombe Chakula kama vile maziwa na nyama Mbolea Ngozi ambayo hutumika kama malighafi kutengeneza, viatu, mikanda, mikoba, nguo na vitanda Kujipatia pesa, pia ni akiba…
Chakula rahisi kwa utunzaji wa nguruwe wadogo wanaokuwa
Nguruwe ni mnyama anaeweza kuishi sehemu za vijijini kwani mijini kule wengi huwa hawapendelei sanaana ufugaji huu. Nguruwe hubeba mimba kwa muda wa miezi mitatu na wiki mbili. Ili kuwa na ufanisi na kwa gharama ndogo, mfugaji anapaswa kuzingatia matunzo na kufahamu njia sahihi za ulishaji wa nguruwe wadogo, ili waweze kukua kwa haraka. Mfugaji anaweza kutumia malighafi zifuatazo ili…
Ni muhimu kuzingatia ubora wa chakula cha kuku kabla ya kununua na kulisha
Ili kuku waweze kuishi, kukua na kuleta matokeo chanya ni lazima wale chakula kingi chenye ubora unaotakiwa. Uwingi na ubora wa chakula cha kuku ni lazima uzingatie makundi ya chakula ambazo ni, vyakula vya kutia nguvu, kujenga mwili, kuimarisha mifupa, kulinda mwili pamoja na maji. Vyakula vya kutia nguvu Vyakula vya kutia nguvu vinaweza kuwekwa katika makundi matatu; Kundi la…
Namna ya kuandaa udongo kwa ajili ya kusia mbegu
Wakulima wengi hawaelewi ubora na umuhimu wa kuandaa udongo maalumu kwa ajili ya kusia mbegu za mazao mbalimbali kabla ya kuzipeleka shambani hasa mazao ya bustani. Si kila udongo unafaa kwa ajili ya kusia mbegu. Kuna udongo maalumu unaostahili kutumika kwa ajili ya kusia miche, ambao mkulima yeyote anaweza kuutafuta na kuandaa mwenyewe kwa ajili ya matumizi hayo. Bila kutumia…
Ufugaji wa kuku unaweza kumpa mkulima kipato kikubwa
Hii inawezekana ikiwa mfugaji mdogo wa kuku atapanua kiwango na idadi ya kuku anaowafuga. Kuku ni ndege maarufu na ana-yefugwa sana nchini Tanzania. Karibu kaya nyingi zinafuga kuku, kwa ajili ya nyama yake yenye ladha nzuri, mayai, pia ni ishara muhimu ya kitamaduni katika baadhi ya jamii. Kwa nini ni vigumu kuongeza kipato kutokana na ndege huyu mwenye umaarufu mkubwa…









