Mbogamboga

- Binadamu, Kilimo

Maharagwe ni chanzo cha protini na madini kwa watoto

Lishe ni sehemu muhimu ya afya na maendeleo. Lishe bora inahusisha kuboreshwa kwa afya ya watoto wachanga ili kuwawezehsa kukua vyema, kujenga kinga imara zaidi, kupunguza hatari ndogo ya magonjwa na kuwa na maisha marefu. Watoto wenye afya bora hujifunza mambo kwa haraka na kufanya vyema shuleni. Wanapokuwa watu wazima wana nguvu na uwezo wakujitengenezea nafasi ya kuvunja mzunguko wa…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo

Uji wa chaya, lishe bora kwa familia

Chaya ni mboga ya kijani kibichi iliyo katika kundi la kisamvu ambayo huota ikiwa kwenye uonekano wa kisamvu yaani huwa na shina nyingi na majani mengi ambapo majani hayo hutumika kama mboga. Mboga aina ya Chaya, huota katika hali yeyote hata katika maeneo yenye kame kwani hustahimili hali ya ukame na hivyo hufanya jamii ya eneo husika kuwa na mboga…

Soma Zaidi

- Kilimo

Dawa za asili kwaajili ya kudhibiti wadudu kwenye mbogamboga

Kama ilivyo kwa aina nyingine ya kilimo kuwa na changamoto, wadudu pia ni moja ya changamoto inayowakabili wakulima wa kilimo hai na mara nyingi wamekuwa wakipambana kutafuta utatuzi. Aidha, dawa mbalimbali za asili zimeonekana kufanya vizuri katika kudhibiti mashambulizi ya wadudu hawa kwenye mimea. Phytolacca Dodecandra Mmea huu hutumika kama dawa ya kuulia wadudu kama vile aphids, mealy bugs, caterpillars,…

Soma Zaidi

- Binadamu, Mazingira, Usindikaji

Shambani hadi mezani; Fursa ya biashara ya chakula

Kuna fursa mbalimbali za kibunifu zinazoweza kumsaidia mkulima kujikwamua kiuchumi. Ikiwa wakulima wengi wamekua na changamoto ya soko la mazao wanayozalisha, shambani kwenda mezani ni fursa nzuri kama utazingatia na kuifanya kwa ufanisi. Shambani kwenda mezani ni msemo unaoweza kumaanisha mambo tofauti kwa watu tofauti. Hata hivyo maana yake ni kwamba chakula kilichoandaliwa mezani kimetoka moja kwa moja shambani, bila…

Soma Zaidi

- Kilimo

Fursa ya kibiashara kutokana na zao la alizeti

Alizeti ni zao maarufu katika maeneo yenye mvua za wastani mfano Mkoa wa Singida, Dodoma, Manyara na Simiyu. Zao hili limekuwa maarufu sana kutokana na mafuta yake kupendwa na watu wengi kwa sababu hayachanganywi na kemikali yoyote. Katika miaka hii miwili, Mafuta ya alizeti yameonekana kupanda bei kutoka fedha za kitanzania shilingi 3000/= kwa lita hadi 5500/= huku dumu la…

Soma Zaidi

- Kilimo

Mkulima avumbua dawa ya asili ya kutibu ugonjwa wa mnyauko

Uzalishaji wa mbogamboga umekuwa maarufu nchini, hasa kutokana na uhitaji wake wa kila siku. Hii ni kutokana na jamii kupata uelewa juu ya umuhimu wa ulaji wa mbogambga kwa afya ya mwili. Aidha, upatikanaji wa soko ndani na nje ya nchi pamoja na uzalishaji kuwa rahisi, umepelekea wakulima wengi kujikita katika kilimo hiki. Hata hivyo, kilimo hiki kimekua na changamoto…

Soma Zaidi

- Kilimo

Mkulima Mbunifu tunajivunia kuwa sehemu ya mafanikio ya wakulima

Kuna usemi ambao ninaamini kuwa ni wa kweli kabisa, unaosema ufahamu ni njia ya kila jambo unalohitaji kufanya, na taarifa sahihi ni nguvu ya kila jambo. Usemi huu unaweza kudhihirishwa na muda ambao tumekuwa tukichapisha jarida la Mkulima Mbunifu, na kwa namna ambapo wale wote waliolitumia wameshuhudia ni kwa jinsi gani limekuwa msaada mkubwa kwao. Wafugaji na wakulima walilipokea vizuri…

Soma Zaidi

- Kilimo

Mitego ya kukamata wadudu wanaoshambulia mimea shambani

Wadudu walio wengi huvutiwa na rangi mbalimbali. Ili kupunguza uharibifu kwenye mazao, wadudu kama nyigu na vidukari wanaweza kudhitiwa kwa kutengeneza chombo kidogo, kipakwe rangi ya njano na kijazwe maji ya sabuni. Wadudu wanaweza kutota kwenye hayo maji na kama wakikusanywa wanaweza kuwa chakula cha samaki au kuku. Mkulima pia anaweza kufanya jaribio la kutumia rangi tofautu tofauti ili kufahamu…

Soma Zaidi

- Kilimo

Fanya Kilimo mseto kwa uhakika wa chakula na utunzaji wa mazingira

Kilimo mseto ni njia ya kitamaduni, ambayo imekuwa ikitumiwa na wakulima barani Afrika na kwingineko tangu karne na karne. Njia hii hutoa fursa kwa wakulima kuweza kuzalisha mazao mengi na ya aina tofauti katika sehemu ndogo ya ardhi. Hii ni kwa sababu mazao hayo hupandwa kwa pamoja katika eneo hilo. Mbali na uzalishaji wa aina tofauti ya mazao, pia kilimo…

Soma Zaidi