Hii ni njia nyingine bora na salama, ambayo mkulima anaweza kutumia kwa ajili ya kufukuza wadudu shambani, bila kusababisha madhara ya yoyote. Lengo la kuandaa mchanganyiko huu wa Kitunguu swaumu ni kuwafukuza wadudu wasishambulie mimea shambani. Matumizi ya kitunguu swaumu husaidia kupunguza wadudu shambani na kupunguza matumizi ya kemikali za sumu hivyo kusaidia kulinda afya ya walaji pamoja na kuhifadhi…
Mbogamboga
Fuata kanuni sahihi za kilimo upate mavuno bora
Wakulima walio wengi wamekuwa wakijikita zaidi katika matumizi ya mbolea ili kupata matokeo mazuri katika kilimo, na kusahau kuwa kanuni bora za uzalishaji pia huchangia kwa kiasi kikubwa kuongezeka na kupatikana kwa mavuno yenye ubora. Nini cha kuzingatia ili kupata mavuno bora Ni lazima mkulima kufuata utaratibu wa uzalishaji wa mazao katika kila msimu wa kilimo. Hatua zifuatazo ni lazima…
Tumeamua kufanya kilimo hai kwa ajili ya afya zetu
“Kulima na kuzalisha kwa njia ya kilimo hai ni sehemu ya maisha yetu ya shuleni kwa ujumla. Tunafahamu madhara ya matumizi ya kemikali za viwandani, hivyo tumeamua kuzalisha kwa njia za asili ili kujikomboa kutokana na kemikali hizi” Mwl. Thomas Kaniki (Mkuu wa shule ya sekondari Makomu). Mwalimu Kaniki anaeleza kuwa, kwa kufanya utunzaji wa mazingira waliweza kuanzisha uzalishaji wa…
Zikaushe mboga za ziada kwa matumizi ya baadaye
Kukausha mavuno kutoka shambani mwako, ni njia nzuri zaidi kukuwezesha kukabiliana na hali ngumu. Kukausha mboga na matunda ni njia rahisi sana ya uhifadhi inayotumika duniani kote. Hata hivyo, ili kupata matokeo mazuri na bora, baadhi ya kanuni ni lazima zifuatwe. Kukausha kwa jua Jua hutumika kwa mazao ambayo hayaharibiki yanapokaushwa kwa kutumia jua moja kwa moja, mfano maharagwe, karanga…



