Usindikaji

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kuku, Kutuhusu, Masoko, Mazingira, Mifugo, Udongo, Usindikaji

NANE NANE 2022, UNAKOSAJE MAONYESHO HAYA, MKULIMA MBUNIFU KAMA KAWAIDA YETU TUTAKUWEPO KUKUJUZA KUHUSU KILIMO NA UFUGAJI

Hayawi hayawi sasa yamekuwa, nane nane hiyoo imekaribia. Nchini Tanzania, kila mwaka, wakulima na wafugaji hujumuika kwa pamoja kwa muda wa siku takribani kumi kuadhimisha sikukuu ya wakulima nchini. Sherehe hizi hufikia kilele siku ya tarehe nane mwezi wa nane. Katika kipindi hiki wadau mbalimbali wa kilimo, huandaa mazao na bidhaa mbalimbali za kilimo kwa ajili kushirikisha bunifu mbalimbali na…

Soma Zaidi

- Binadamu, Mazingira, Usindikaji

Shambani hadi mezani; Fursa ya biashara ya chakula

Kuna fursa mbalimbali za kibunifu zinazoweza kumsaidia mkulima kujikwamua kiuchumi. Ikiwa wakulima wengi wamekua na changamoto ya soko la mazao wanayozalisha, shambani kwenda mezani ni fursa nzuri kama utazingatia na kuifanya kwa ufanisi. Shambani kwenda mezani ni msemo unaoweza kumaanisha mambo tofauti kwa watu tofauti. Hata hivyo maana yake ni kwamba chakula kilichoandaliwa mezani kimetoka moja kwa moja shambani, bila…

Soma Zaidi

- Kilimo, Usindikaji

Sindika karakara kupunguza upotevu

Karakara ni zao la matunda ambalo ni muhimu kwa biashara na chakula linalolimwa katika mikoa ya Pwani, Morogoro, Dar es Salaam, Tanga, Kigoma, Mbeya, Kilimanjaro na Arusha. Mara nyingi wakulima huzalisha zao hili kwa wingi sana kwa msimu mmoja na hatimae kushuka kwa soko lake na kufanya kuwepo kwa upotevu na uharibifu wa matunda haya. Ili kuondokana na uharibifu huu,…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Mazingira, Mifugo, Mimea, Redio, Shuhuda, Usindikaji

HERI YA MWAKA MPYA WA 2022

Heri ya mwaka mpya 2022 Ni matumaini yetu kuwa sote tumevuka salama na tumejiandaa vyema katika kuukabili tena mwaka huu kwa kishindo katika kilimo na ufugaji ili kuongeza tija na kukuza uchumi lakini pia tukizalisha kwa misingi ya kilimo hai kwa ajili ya kulinda afya zetu, wanyama, mazingira na mimea. Ni hakika, mwaka uliopita haukuwa mbaya sana kwani pamoja na…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Mafuta, Usindikaji

Uzalishaji wa mafuta ya karanga

Karanga hutumika kama kiungo katika mapishi mbalimbali au kukaangwa ili kutumika kama vitafunwa lakini pia kusindikwa ili kupata mafuta, siagi na rojo. Karanga zina virutubisho vingi kama vile; maji asilimia 7, nguvu kilokari 570, protini gramu 23, mafuta gramu 45, wanga gramu 20, kalishamu miligramu 49, chuma miligramu 3.8, patasiamu miligramu 680, vitamini B miligramu 15.5 na vitamini A (I.U…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo Biashara, Usindikaji

Utengenezaji wa jibini ngumu

Hii ni jibini aina ya cheddar ambayo asili yake ni huko Uingereza lakini kwasasa hutengenezwa katika nchi mbalimbali dunian. Hatua za utengenezaji Pima ubora wa maziwa Pasha moto maziwa kufikia nyuzi joto 65C yaache katika joto kwa dakika 30 au nyuzi joto 71.5C kwa sekunde 15 Poza maziwa kufikia nyuzi joto 22 hadi 25C Weka kimea cha mtindi (mesophilic) asilimia…

Soma Zaidi

- Kilimo, Usindikaji

Ukaushaji wa mbogamboga

Kikundi cha usindikaji cha mbogamboga na matunda kutoka SAT (Sustainable Agriculture Tanzania) Mbogamboga jamii ya majani Majani ya maboga na mchicha Chagua majaNi  mabichi na laini Chambua mboga na kuondoa nyuzinyuzi Osha majani yako kwa maji safi Tumbukiza mboga kwenye maji ya vuguvugu kwa dakiki 3-5 ,kisha weka mboga kwenye maji ya baridi Kwa dakika 1 ipoe ili kuzia kuendele…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Mazingira, Mifugo, Mimea, Redio, Shuhuda, Usindikaji

TUNAOMBA RADHI KWA KUCHELEWA KUTUMA JARIDA LA OKTOBA

Habari ndugu msomaji wa jarida la Mkulima Mbunifu. Ni matumaini yetu kuwa uko salama na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku. Tunaomba radhi kwa kuchelewa kukutumia nakala yako ya jarida la Mkulima Mbunifu. Hii ni kutokana na kuwepo kwa changamoto kidogo zilizokuwa nje ya uwezo wetu ambazo zimepelekea kusindwa kuchapisha nakala ya mwezi Oktoba kwa wakati. Jarida hili…

Soma Zaidi