Mimea

- Binadamu, Kilimo, Mimea

Fahamu aina mbalimbali za viungo muhimu kwa afya ya binadamu

Pamoja na viungo kutumika kuongeza ladha katika vyakula, pia vina manufaa katika mwili wa binadamu. Mara nyingi wakulima wamekuwa mstari wa mbele kuzalisha mazao muhimu kwa manufaa ya jamii, ilhali wao wakijisahau kuwa wanahitaji pia kutumia ili kuimarisha afya zao. Viungo mbalimbali kama tangawizi, vitunguu saumu, vitunguu maji, pilipili na limao ni muhimu katika kuimarisha kinga ya mwili. Je ni…

Soma Zaidi

- Mimea

Mchicha: Zao la muda mfupi lenye faida

Wakati wakulima wakijikita kwa kiasi kikubwa kwenye mazao mengi ya bustani kama vile nyanya, karoti,kabichi na mengine mengi, hawana budi pia kuweka mkazo katika zao la mchichi ambalo huvunwa kwa muda mfupi (wiki 3 – 5) na lenye pato kubwa katika masoko makubwa.  Halikadhalika, mkulima hawezi kuwa na gharama kubwa kwenye kilimo cha mchicha hasa kwa kuwa ni zao la…

Soma Zaidi

Kukausha uyoga
- Mimea

Jinsi ya kukausha uyoga na kuhifadhi kwa muda mrefu

Uyoga ni moja ya vyakula muhimu katika mwili wa binadamu, vinavyoupa mwili nguvu na virutubisho vya kujenga mwili.  Uyoga ni mmea uliopo katika kundi la mimea aina ya fangasi, na umetajwa na wataalamu mbalimbali kuwa na faida kwenye suala la afya kwa binadamu ikiwa ni pamoja na kuondoa seli mfu zilizoko mwilini. Kilimo cha uyoga ni rahisi na unaweza ukavuna…

Soma Zaidi

- Mimea

Tumia eneo ndogo kuanzisha bustani ya nyumbani

Bustani ya nyumbani ni eneo lililokaribu na nyumbani au jikoni ambalo linaweza kutumika kwa kulima aina mbalimbali za mboga, matunda na viungo vya chakula. Jinsi ya kuandaa bustani ya gunia Mahitaji muhimu Gunia au mfuko wa salfeti iliotobolewa pande zote Kokoto au mawe madogo Nguzo au ubao wa 4’ kwa 2’ wenye urefu wa mila moja na nusu Mbolea ya…

Soma Zaidi

- Mimea

Viazi vitamu: Hukabili uhaba wa chakula

Viazi vitamu ni moja ya mazao yanayotumika kama kinga ya kukabiliana na uhaba wa chakula kutokana na sifa yake ya kuvumilia ukame kwa muda mrefu. Sehemu kubwa ya zao hili hulimwa kwa matumizi ya nyumbani.   Viazi vitamu ni moja kati ya mazao makuu ya mizizi nchini Tanzania. Zao hili hulimwa kwa ajili ya chakula. Viazi vitamu, asilia yake ni Amerika ya Kati…

Soma Zaidi

- Mimea

Fahamu namna bora ya upandaji wa zao la vanilla ili kuongeza kipato

Vanilla ni moja ya zao la viungo ambalo hutumika kila siku nyumbani na maeneo mengine. Matumizi makubwa ya zao hili ni kuongeza harufu nzuri na ladha ya vyakula na vinjwaji mbali mbali. Baadhi ya vyakula ambavyo vanilla huwekwa ni pamoja na chokoleti, keki, maandazi, biskuti, uji, barafu pia vinjwaji baridi kama soda na juisi. Mbali na utengenezaji wa vyakula, vanilla…

Soma Zaidi

- Mifugo, Mimea

Unaweza kuokoa pesa nyingi kwa kutumia mwarobaini

Mimi ni msomaji wa jarida la Mkulima Mbunifu, na nimefaidika mengi sana. Ningependa kufahamu kuhusiana na mti wa mwarobaini ambao nimekuwa nikisikia kwa muda mrefu kuwa unatibu wanyama na binadamu. Je naweza kuutumia kutibu kuku na mifugo mingine ninayofuga, na je unafaa kwa mazao?-Msomaji MkM Mwarobaini (Azadirachta indica) ni mti unaofahamika kwa uwezo wake wa kutibu magonjwa ya aina mbalimbali.…

Soma Zaidi

- Mimea

Unaweza kufaidika na kuongeza pato kwa kuzalisha bamia

Bamia ni zao linalolimwa sana nchi za joto. Zao hili hutumika kama mboga inayoliwa matunda. Asili ya mboga hii ni Afrika ya Kati na ya Mashariki, lakini kwa sasa zao hili limeenea katika sehemu nyingi za kitropiki, kama Visiwa vya Caribbean, Malaysia na Philipines. Zipo aina nyingi za bamia, aina zile za kiasili nazo hutofautiana kulingana na eneo moja na…

Soma Zaidi

- Kilimo, Mimea

Wakulima wanasemaje kuhusu masoko ya mazao ya kilimo hai

Mkulima anaezalisha kwa mazao kwa kufuata misingi ya kilimo hai, Bw. Zadock Kitomari alisema kuwa, unapoanza kujishughulisha na kilimo hai ambacho hakitumii kemikali unaona kuwa uzalishaji unakuwa mdogo lakini kwa kadri unavyoendelea uzalishaji unakuwa mkubwa. Anaeleza kuwa, kilimo hai ni aina ya kilimo kinachoangalia uhai wa mazingira, uhakika na usalama wa mlaji na usalama wa chakula jambo ambalo linamuhakikishia mkulima…

Soma Zaidi

- Kilimo, Mimea

Vijana wanaweza kujifunza mengi kutokana na ubunifu kwenye kilimo hai

Kilimo hai kinafanyika kwa ufanisi na manufaa endapo wakulima wenyewe wanafanya ubunifu kulingana na mazingira yao. Ili kilimo hai kiwe endelevu ni muhimu ubunifu kutoka kwa vijana kutiliwa mkazo. Kilimo kwa kutumia mifuko (viroba) Kilimo cha kutumia mifuko (viroba), ni kilimo kizuri na chenye manufaa kwa wakulima, kwani unaweza kulima sehemu yeyote pasipo kuathiri mazingira. Watu wengi wanakijua kilimo hiki…

Soma Zaidi