Kama ambavyo maandalizi sahihi hufanyika katika shughuli yeyote ya kimaendeleo, katika kilimo hai pia kanuni ya haki na usawa pamoja na uangalizi visipozingatiwa vyema mkulima hawezi kufaidika na kilimo hai. Kanuni ya haki na usawa Kilimo hai sharti kizingatie msingi wa mahusiano yatakayohakikisha usawa katika mazingira na fursa ya kuishi.Usawa unaojali na kuzingatia heshima, haki na kujituma kwa kila mmoja…
Mazingira
Re-Thinking Food: Transforming Food Systems for People and Planet | Frank Eyhorn | TEDxIHEID
Just click here to watch Climate change, biodiversity loss, poverty, health issues: what we eat and how we produce our food is shaping the face of our planet and of our societies like no other human activity. The hidden costs of cheap food are mind-blowing. At the same time, food is currently one of the most powerful levers for changing…
Shambani hadi mezani; Fursa ya biashara ya chakula
Kuna fursa mbalimbali za kibunifu zinazoweza kumsaidia mkulima kujikwamua kiuchumi. Ikiwa wakulima wengi wamekua na changamoto ya soko la mazao wanayozalisha, shambani kwenda mezani ni fursa nzuri kama utazingatia na kuifanya kwa ufanisi. Shambani kwenda mezani ni msemo unaoweza kumaanisha mambo tofauti kwa watu tofauti. Hata hivyo maana yake ni kwamba chakula kilichoandaliwa mezani kimetoka moja kwa moja shambani, bila…
Tumia majivu shambani
Majivu yana kiwango cha wastani wa madini kwa mgawanyiko tofauti, potasiamu 5% – 7%, kalishamu 25% – 50%, fosiforasi 1.5% – 2% na madini mengine kwa kiasi kidogo. Pia mabaki ya chenga za mkaa kwenye majivu yanasaidia kunyonya baadhi ya sumu kwenye ardhi. Matumizi Tumia kiasi cha kilo 2.5 mpaka 5 kitumike kwenye eneo la mita za mraba 33 au…
Mbolea ya popo huongeza tija katika kilimo hai na kulinda rutuba ya udongo
Ni ukweli usiopingika kuwa, wakulima wengi kwasasa wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa mbolea kwa ajili ya kuongeza tija katika uzalishaji wa mazao mbalimbali jambo ambalo huweza kutatuliwa kwa kutumia njia mbalimbali na matumizi sahihi ya mbolea za asili ikiwemo samadi itokanayo na kinyesi cha popo. Popo hupatikana katika maeneo mbalimbali kama vile kwenye mapagala, miti, mapango au kwa kujenga…
HERI YA MWAKA MPYA WA 2022
Heri ya mwaka mpya 2022 Ni matumaini yetu kuwa sote tumevuka salama na tumejiandaa vyema katika kuukabili tena mwaka huu kwa kishindo katika kilimo na ufugaji ili kuongeza tija na kukuza uchumi lakini pia tukizalisha kwa misingi ya kilimo hai kwa ajili ya kulinda afya zetu, wanyama, mazingira na mimea. Ni hakika, mwaka uliopita haukuwa mbaya sana kwani pamoja na…
Je, unafahamu kuwa kilimo hai kinalipa
Bonyeza hapo juu kusikiliza kuhusu kilimo hai
Namna bora ya uhifadhi wa shamba
Shamba ni eneo ambalo mkulima anaweza akalitumia kwa shughuli mbalimbali za uzalishaji kama vile ufugaji na kilimo kwa lengo la kujipatia chakula na pato. Hata hivyo, baadhi ya wakulima nchini hawana elimu ya kutosha ya namna bora ya kutunz shamba, hivyo kushindwa kuzalisha mazao bora, mengi na yenye tija. Bila shamba hakuna uzalishaji na shamba bila utunzaji hakuna uzalishaji pia…
Fahamu udongo wako ili kuboresha usimamizi wa rutuba
Kuna virutubisho ambavyo ni muhimu kwa ukuaji wa mmea. Upungufu wa mojawapo ya virutubishi hivi muhimu utapunguza ukuaji wa mimea. Mavuno yanategemea kiwango cha virutubisho muhimu kwa mmea. Mimea yote hutegemea vitu muhimu kukua vizuri. Vitu hivi vinaweza kugawanywa mara mbili; Vitu vya madini, kupitia udongo. Vitu visivyo vya madini: haidrojeni, oksijeni, na kaboni ambazo zinapatikana kwa wingi katika anga…
Uzalishaji wa malisho
Bonyeza hapa na sikiliza kuhusu malisho aina ya matete na faida zake