Fahamu ugonjwa hatari wa mahindi MLN Ugonjwa hatari wa mahindi ujulikanao kwa jina la kitaalamu
Mazingira
Usindikaji wa ndizi umeniwezesha kuanzisha miradi mingine
“Siku zote usipokuwa na juhudi na maarifa maisha ni magumu sana, lakini unapojituma na kutokukata tamaa, ni wazi utapata mafanikio. Jambo la msingi ni kujifunza mambo mbalimbali na kutenda kwa vitendo.”

