Mimea

- Kilimo, Mimea, Udongo

Unaanzaje kilimo hai

Kumekua na maswali kadhaa juu ya kuanzisha kilimo hai. Yamkini, ewe pia unajiuliza swali hili, vile unavyoweza kuzalisha kwa mfumo wa kilimo hai shambani mwako. Jarida la Mkulima Mbunifu ni mahususi kwa ajili yako na katika makala hii tunakukumbusha tena. Kama una nia thabiti ya kuanzisha kilimo hai, fuata hatua zifuatazo; Angalia uwezekano wa kupata soko kwanza Jiulize mwenyewe: Ni…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kuku, Kutuhusu, Machungwa, Mafuta, Mananasi, Masoko, Mazingira, Maziwa, Mifugo, Mimea, Mtama, Nanaa, Nazi, Ngozi, Redio, Samaki, Samaki, Shuhuda, Soya, Udongo, Usindikaji, Viazi vitamu

WEBSITE DESIGNER

Terms of Reference: Updating Mkulima Mbunifu Website – www.mkulimambunifu.org About Mkulima Mbunifu (MkM) Mkulima Mbunifu (MkM) Magazine is a Farmer Communication Programme project that is implemented in Tanzania since July 2011 with support from Biovision Foundation, Switzerland and Biovision Africa Trust (BvAT), Nairobi, Kenya.  The publication aims to provide information to smallholder farmers to enable them adopt improved sustainable agriculture…

Soma Zaidi

- Kilimo, Mimea

Ijue Mbinu ya Kilimo Ikolojia Fanya Juu Fanya Chini

Fanya Juu ni kingamaji ambalo linachimbwa upande wa chini wa shamba, udongo uliochimbwa unawekwa upande wa juu wa shamba ili kutengeneza tuta ambalo litasaidia kubakiza maji ya mvua shambani na kuongeza upatikanaji wa maji kwa mimea. Mwishoni inasaidia kuijanisha ardhi yako! HATUA 1: Angalia Baini uelekeo wa mtiririko wa maji katika shamba lako kwa kuangalia au kwa kutumia vipimo. •…

Soma Zaidi

- Kilimo, Kilimo Biashara, Mimea

Nyuzinyuzi ni chakula muhimu katika mwili wa binadamu

Nyuzinyuzi hupatikana kirahisi kwa familia kwa wakulima. Hii ni pamoja na nafaka zisizokobolewa,njugu karanga, kunde, matunda na mboga. Ni chanzo muhimu cha chakula kwa bakteria chenye faida kwenye utumbo. Inaweza kusaidia kudhibiti uzito na kupunguza hatari kwa ugonjwa wa moyo. Nyuzinyuzi (Roughage) Roughage, pia inajulikana kama nyuzinyuzi, ni sehemu ya wanga ya mimea ambayo haiwezi kumeng’enywa na mwili wa binadamu.…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Mazingira, Mifugo, Mimea, Redio, Shuhuda, Usindikaji

Taarifa: Mkulima Mbunifu ni mara moja kwa miezi miwili tangu sasa

Mwaka umeanza ukiwa na baraka tele na habari njema kwa wakulima na wasomaji kwa ujumla. Kuanzia mwezi huu jarida lako ulipendalo la Mkulima Mbunifu (MkM) litakuwa likichapishwa na kuletwa kwako kila baada ya miezi miwili. Tangu jarida hili lilipozinduliwa mwezi Julai 2011, limekuwa likichapishwa na kusambazwa kwa wakulima kila baada ya miezi miwili. Hata hivyo sababu ilikua ni kujenga msingi…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Mazingira, Mifugo, Mimea, Redio, Shuhuda, Usindikaji

HERI YA MWAKA MPYA WA 2022

Heri ya mwaka mpya 2022 Ni matumaini yetu kuwa sote tumevuka salama na tumejiandaa vyema katika kuukabili tena mwaka huu kwa kishindo katika kilimo na ufugaji ili kuongeza tija na kukuza uchumi lakini pia tukizalisha kwa misingi ya kilimo hai kwa ajili ya kulinda afya zetu, wanyama, mazingira na mimea. Ni hakika, mwaka uliopita haukuwa mbaya sana kwani pamoja na…

Soma Zaidi