- Mifugo

TERMS OF REFERENCE FOR MKULIMA MBUNIFU (MKM) RADIO PRODUCTION CONSULTANT

  Mkulima Mbunifu (MkM) is a farmer information service based in Arusha, Tanzania, and implemented since July 2011 with support from Biovision Foundation, Switzerland and Biovision Africa Trust (BvAT), Nairobi, Kenya. MkM operates legally and administratively under Sustainable Agriculture Tanzania (SAT). MkM aims to provide information to smallholder farmers to enable them adopt improved sustainable agriculture technologies and practices. MkM…

Soma Zaidi

- Shuhuda

Miaka 10 ya Mkulima Mbunifu na kilimo hai

Mkulima Mbunifu imechangia kwa asilimia kubwa kufahamika na kutekelezwa kwa kilimo hai nchini Tanzania. Hii ilikuwa ni ndoto ambayo imegeuka na kuwa kweli. Watanzania wengi na baadhi ya wakulima wa nchi jirani wameelimika na kufahamu kwa kina kuhusu kilimo endelevu kupitia MkM. Ninafuraha kubwa kushiriki katika kuifanya ndoto hii kutimia na kuendelea kuwa msaada kwa uwepo wake. Wazo la uwepo…

Soma Zaidi

- Shuhuda

Mkulima Mbunifu imeniongezea uwezo katika uzalishaji

Nilianza kupokea jarida la Mkulima Mbunifu toka mwaka 2012 (Miaka 9 sasa) na kupitia jarida hili nimeweza kujifunza mambo mbalimbali kuhusu kilimo pamoja na ufugaji (Rubia Issa- Kondoa, Dodoma) Mimi ni mkulima wa alizeti, mahindi na maharage lakini kupitia MkM nimeweza kujifunza kuhusu uchavushaji wa mazao kwa kutumia nyuki hasa alizeti hivyo nikaamua kuwa mfugaji wa nyuki. Kwa mradi huu…

Soma Zaidi

- Shuhuda

Mkulima Mbunifu limenifaidisha sana kupitia uzalishaji wa kilimo hai

Nilianza kupokea majarida ya Mkuli­ma Mbunifu kwa zaidi ya miaka 5 sasa (Eliakarimu G. Gayewi wa kikundi cha Dilega Katesh mkoani Manyara). Nashukuru sana kuwa sehemu ya wanufaika wa jarida hili kwani toka nianze kupokea nimejifunza na kufaidika na mambo mengi kwenye kilimo na ufugaji. Kuna elimu nyingi kuhusu kilimo zinazotolewa kwenye jarida hili ambayo sikuwa najua kwani nilikuwa nalima…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Mazingira, Mifugo, Mimea, Redio, Usindikaji

Miaka kumi ya Mkulima Mbunifu

Penye nia, pana njia. Usemi huu ni kweli na unatekelezeka. Hakika ni furaha ilioje kwa wapenzi wa jarida la kilimo hai ‘Mkulima Mbunifu’ kufikia miaka kumi (10) tangu lilipo anza kuchapishwa mwaka 2011. Jarida hili limejizolea umaarufu katika maeneo mengi, hasa vijijini walipo walengwa, hasa vikundi vya wakulima wadogo wadogo ambao ndio wamekua walengwa wakwanza kunufaika na jarida hili. Lakini…

Soma Zaidi

- Kilimo

Wasemavyo wanufaika wa jarida la Mkulima Mbunifu

Mkulima Mbunifu imekua ikitembelea wakulima mbali mbali nchini Tanzania ili kuchukua shuhuda mbalimbali za wanufaika na kuzichapisha ziwe chachu kwa wasomaji wengine kujifunza na kufanya kwa vitendo. Je wewe umejifunza nini kutoka Mkulima Mbunifu? Tafadhali tuandikie kupitia mawasiliano yaliyo katika jarida hili. Bwana Santony Yasenti, Nangara – Babati.  Ninapenda kutoa shukrani zangu kwa gazeti la Mkulima Mbunifu, nimejifunza mengi kupitia…

Soma Zaidi

- Redio

Sikiliza Makala ya Redio Kuhusu Mkulima Mbunifu

Madhumuni ya kipindi hiki ni kukuelimisha kuhusu Kilimo Endelevu na mfumo wa uzalishaji unaohakikisha uendelevu katika kilimo, na kuongeza kipato hasa kwa wakulima wadogo ambao ni idadi kubwa humu nchini. Hii ikiwa ni pamoja na Kilimo hai. Mkulima Mbunifu ni jarida la kila mwezi linaloangazia mbinu na teknologia za kilimo endelevu cha kiikolojia, uzalishaji wa kilimo hai na kuboresha maisha…

Soma Zaidi

- Mifugo

Mkulima Mbunifu imenihamasisha kuanza kufanya kilimo hai

“Nimeamua kuanza kufanya kilimo hai kwani ni rahisi, sitatumia dawa za kemikali wala mbolea za viwandani.  Nilikua nikifanya kilimo cha mazoea bila kujali afya yangu na watu wengine. Sikufahamu madhara kwa mazingira yani ardhi, mimea na hata wanyama”. Hayo ni maneno ya Godwin Zakaria Axwesso (52) anayeishi kijiji cha Bashay, wilaya ya Karatu Mkoa wa Arusha.   Alifanya kilimo cha kawaida…

Soma Zaidi

- Mifugo

Miaka tisa nikitumia jarida la Mkulima Mbunifu na kupata mafanikio lukuki

Mipango thabiti huzaa matunda mema na kila jambo likiwekwa katika mipango imara husababisha mafanikio. Hayo ni maneno ya Mzee Goodluck Lazaro Kimario na mkewe Rose Goodluck Kimario ambao ni miongoni mwa wakulima wa muda mrefu na wanufaika wa jarida la Mkulima Mbunifu. Wakulima hawa walikua wakiishi wilaya ya Tarime mkoani Mara ambapo mzee Goodluck alijishughulisha na majukumu ya kanisa huku…

Soma Zaidi