- Mifugo

Mkulima Mbunifu imeniongezea maarifa katika ufugaji wa kuku

Rose Rafael Mollel (35) nina Watoto wanne. Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji. Nilianza na kuku 10 tu ambao walinipa changamoto kuwafuga kwani kuku watatu walikufa kwa ugonjwa wa kideri. Nikajiuliza nitafanyaje sasa na sipendi kutumia madawa ya kemikali! Nikabuni chanjo ya kienyeji: tangawizi nikaisaga, matone ya myaa na chumvi kidogo nikakoroga nikawapa vijiko vitatu asubuhi na vitatu jioni.…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Masoko, Mazingira, Mifugo, Udongo

FOATZ ni moja ya shirika linalowawezesha wakulima kupitia majarida ya Mkulima Mbunifu

Mashirika mbalimbali yakiwepo ya Umma, taasisi binafsi wamekuwa wakitumia majarida ya Mkulima Mbunifu katika kutoa elimu ya uzalishaji kwa misingi ya kilimo hai kwa wakulima wao jamno ambalo limeleta chachu katika usambazaji wa taarifa za kilimo huku ikiwapa wakulima matokeo chanya katika uzalishaji. Moja ya shirika linalojivunia jarida la Mkulima Mbunifu ni shirika la FOATZ FUNGUA HAPA KUJUA ZAIDI Organic…

Soma Zaidi

- Kilimo, Mifugo

Jinsi ya kushirikiana na Mkulima Mbunifu

Sasa unaweza kushirikiana na jarida la MkM kutoa mafunzo na habari kwa wakulima kuhusu mbinu na teknolojia tofauti zinazowezesha kuboresha uzalishaji na kuleta faida kwa mkulima na jamii kwa ujumla. Hii ni fursa ya kuwekeza zaidi katika kufikisha matokeo ya utafiti na ubunifu unaowanufaisha wakulima kwa wakulima wenyewe.  Kuna tafiti nyingi tu lakini njia za kusambaza kwa wakulima ni chache…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo Biashara

MKULIMA MBUNIFU INAKUTAKIA HERI YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI: Hakuna wa kuachwa nyuma; uzalishaji bora, lishe bora, mazingira bora, maisha bora

Ikiwa ni maadhimisho ya Siku ya chakula duniani, ni muhimu kwa kila jamii kuangalia namna ya kuondokana na baa la njaa linaloikabili ulimwengu kwasasa. Kauli mbiu ya mwaka huu ambayo ni; Hakuna wa kuachwa nyuma: uzalishaji bora, lishe bora, mazingira bora, maisha bora inahamasisha jamii kuhakikisha inafanya uzalishaji wenye kupelekea kuwepo kwa lishe bora, mazingira na maishaya mwanadamu kwa ujumla.…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Masoko, Mazingira, Mifugo, Redio, Usindikaji

MKULIMA MBUNIFU INTERN ADVERT

S.L.P 14402, Arusha, Tanzania Simu :+255 (0) 0714 266 0007 Barua pepe: info@mkulimambunifu.org TERMS OF REFERENCE FOR MKULIMA MBUNIFU INTERN Mkulima Mbunifu is seeking to recruit suitably qualified intern to support MkM work in content development and distribution of MkM magazine. The intern will also support monitoring activities of the project, data management and feedback from users of knowledge products…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Mazingira, Mifugo, Mimea, Redio, Shuhuda, Usindikaji

Taarifa: Mkulima Mbunifu ni mara moja kwa miezi miwili tangu sasa

Mwaka umeanza ukiwa na baraka tele na habari njema kwa wakulima na wasomaji kwa ujumla. Kuanzia mwezi huu jarida lako ulipendalo la Mkulima Mbunifu (MkM) litakuwa likichapishwa na kuletwa kwako kila baada ya miezi miwili. Tangu jarida hili lilipozinduliwa mwezi Julai 2011, limekuwa likichapishwa na kusambazwa kwa wakulima kila baada ya miezi miwili. Hata hivyo sababu ilikua ni kujenga msingi…

Soma Zaidi

- Kilimo, Mifugo

Ushuhuda kutoka kwa msomaji wa jarida la Mkulima Mbunifu

Kama ilivyo ada, Mkulima Mbunifu tumeendelea kuwatembelea wakulima na wanufaika wa jarida hili kufahamu ni kwa namna gani elimu wanayoipata kupitia makala za kila mwezi zimeendelea kuleta chachu katika shughuli zao za kilimo na hata kuweza kuwabadilisha kimaisha. Bi. Esther Kitomari ni miongoni mwa wanufaika wa jarida la MkM na anaeleza kuwa amejifunza mengi kupitia makala zinazochapishwa kila mwezi hasa…

Soma Zaidi