Malisho yaliyo mengi hapa nchini ya asili ambayo hutegemewa na mifugo hukomaa na kukauka mapema zaidi na hivyo kusababisha lishe kwa wanyama kuwa duni wakati wa kiangazi ambapo wanyama huhangaika sana kupata chakula. Kutokana na upungufu huo ni vyema wafugaji kuotesha aina mbalimbali za malisho bora ili kunusuru mifugo yao wakati wa ukosefu wa chakula katika malisho ya asili. Mfugaji…
Mifugo
Jinsi ya kutega nyuki wakubwa kuingia kwenye mzinga
Ufugaji wa nyuki ni moja ya miradi mikubwa inayofanywa na wafugaji wengi kwa lengo la kujipatia kipato. Ufugaji huu umekuwa ukihusisha ufugaji wa nyuki wadogo na wakubwa kupta asali, nta, sumu pamoja uuzaji wa mizinga. Wafugaji wengi wamekuwa wakikwama kupata nyuki katika mizinga yao pindi wanapokamilisha utengenezaji wa mizinga kutokana na kukosa maarifa ya utegaji nyuki ili waingie ndani ya…
EMAS: Kirutubishi chenye matumizi mengi kwa mkulima
Mlima bora ni yule anayetumia malighafi sahihi ili kuzalisha mazao mengi yenye tija na salama kwa chakula. EMAS ni nini? EMAS Effective Micro Organisms Active Solution ni namna nyepesi ya kutengeneza bakteria wazuri ama rafiki kwa njia ya kimiminika ambacho ni rahisi kutumia na pia ni salama. Mahitaji Maziwa Fresh lita 10 Maji ya mchele lita moja Molasesi lita 10…
Ukisoma jarida la Mkulima Mbunifu kila siku utakuwa na tabasamu usoni mwako
Hebu waangalie wanufaika wa jarida la Mkulima Mbunifu wakifurahia kupata nakala zao
Uzalishaji wa malisho
Bonyeza hapa na sikiliza kuhusu malisho aina ya matete na faida zake
Mimi nasoma Jarida la Mkulima Mbunifu, wewe Je?
Hebu tazama tabasamu la mama huyu usoni, mara tu aonapo jarida la Mkulima Mbunifu na azidi pale anapokutana na taarifa muhimu kwake? Ni furaha iliyoje? Hebu na wewe kuwa mmojawapo wa wanufaika wa jarida hili, nakuahidi hutajutia….. Jarida pekee lililosheheni taarifa za kilimo hai, ufugaji wa mifugo aina mbalimbali, utunzaji wa udongo, mazingira na afya ya mwadamau kwa ujumla…… Mkulima…
Kutunza ndama wa ng’ombe/mbuzi iwapo mama yake amekufa
Mara tuu baada ya kuzaliwa na kwa kipindi cha siku 3 hadi 4 za mwanzo, ndama huhitaji maziwa ya mwanzo ya mama yake yaani dang’a (colostrum) Ni jambo la muhimu sana kuhakikisha kuwa baada ya kuzaliwa ndama anapata maziwa haya ya mwanzo kabla yakupita masaa mawili. Faida ya maziwa ya mwanzo Maziwa ya mwanzo yana kiwango kikubwa zaidi cha viinilishe…








