- Binadamu, Kilimo, Mazingira, Mifugo, Udongo

Mimi nasoma Jarida la Mkulima Mbunifu, wewe Je?

Sambaza chapisho hili

Hebu tazama tabasamu la mama huyu usoni, mara tu aonapo jarida la Mkulima Mbunifu na azidi pale anapokutana na taarifa muhimu kwake? Ni furaha iliyoje? Hebu na wewe kuwa mmojawapo wa wanufaika wa jarida hili, nakuahidi hutajutia…..

Jarida pekee lililosheheni taarifa za kilimo hai, ufugaji wa mifugo aina mbalimbali, utunzaji wa udongo, mazingira na afya ya mwadamau kwa ujumla…… Mkulima Mbunifu ni kisima cha mafanikio kwa mkulima

Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *