- Kilimo, Udongo

Unaliandaaje shamba lako kwa msimu wa kilimo?

Sambaza chapisho hili

Kama ni mkulima wa kilimo hai, ulishawahi kujiuliza shamba lako utaliandaaje kwa msimu wa kilimo?

Yaani umelima mazao, umevuna na shamba limebaki wazi, kama utahitaji kuotesha tena msimu ujao unaliandaaje ili uweze kuotesha na kupata mavuno bora? Angalia picha hapa chini? Mkulima toka Karatu Bw. Elibaraka aliweka shamba lake aina mbalimbali za mbolea ya asili kabla ya kulima.

Wewe Je, unafanyaje? Tushirikishe utaalamu wako nasi tutajifunza zaidi

Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *