Mifugo

- Mifugo

Wakulima wajidhatiti kudhibiti sumu kuvu msimu wa mavuno

Katika majarida yaliyopita, tuliangazia kwa undani kuhusu sumu kuvu na namna ya kudhibiti. Katika toleo hili tumeona vyema kurudia makala hii hasa kwa kuwa tunaelekea msimu wa mavuno na wakulima wanahitaji kukinga mazao yao na sumu kuvu. Sumu kuvu (Aflatoxin) ni aina za kemikali za sumu zinazozalishwa na aina ya ukungu au fangasi wanaoota kwenye mbegu za nafaka kama vile…

Soma Zaidi

- Mifugo

Uzalishaji na utunzaji wa malisho ya mifugo kwa ajili ya kulisha wakati wa kiangazi

Kama wewe ni mfugaji, Je, umewahi kufikiri utalisha vipi mifugo wakati wa kiangazi? Wafugaji walio wengi wanafanya miradi yao bila kuweka mikakati ya upatikanaji wa malisho katika majira yote ya mwaka, hasa kipindi cha kiangazi ambapo upatikanaji wa chakula cha mifugo ni duni. Bila malisho, mifugo haiwezi kuzalisha au kupata uhai. Chakula ni muhimu kwa mifugo kama ilivyo kwa binadamu.…

Soma Zaidi

- Mifugo

Aina bora ya nguruwe kwa ajili ya kufuga

Nchini Tanzania, ufugaji wa nguruwe unazidi kuongezeka siku hadi siku. Hii ni kwa sababu nguruwe ni moja kati ya mifugo inayompatia mfugaji kipato kwa haraka, kwani huzaa mara mbili kwa mwaka na kila mzao anaweza kuzaa watoto 12. Pamoja na matunzo mengine ya nguruwe ili mfugaji aweze kupata faida kama alivyokusudia, ni muhimu kufahamu sifa za nguruwe bora wa kufuga.…

Soma Zaidi

- Mifugo

Tumia kilimo cha mzunguko kudhibiti wadudu na magonjwa

Mimi ni msomaji wa jarida la Mkulima Mbunifu, nimekuwa nikivutiwa na makala za uzalishaji wa mazao kwa njia ya asili. Naomba kufahamishwa ni kwa namna gani naweza kudhibiti wadudu na magonjwa kwenye bustani yangu bila kutumia dawa yoyote? Wadudu na magonjwa visipodhibitiwa, humsababishia mkulima hasara kwa kiasi cha asilimia 20 hadi 80. Kutokana na hali hiyo, ni muhimu kuzuia magonjwa…

Soma Zaidi

- Mifugo

Ng’ombe wanahitaji uangalizi wa kina kwa uzalishaji wenye tija

Ng’ombe ni mifugo ambayo hutegemewa sana na wananchi walio wengi hapa nchini. Kuna aina tatu za ng’ombe wafugwao hapa nchini, nao ni ng’ombe wa kisasa, kienyeji na machotara. Faida za ufugaji wa ng’ombe Kupata chakula kama vile maziwa na nyama. Kupata ngozi ambayo hutumika kama malighafi kwa ajili ya kutengeneza viatu, mikanda, mikoba, nguo na vitanda. Kujipatia pesa na pia…

Soma Zaidi

- Mifugo

Unaweza kulima giligilani kukuza uchumi na pato kwa haraka

Kilimo cha Giligilani (Coriander) ni mradi mkubwa unaojitosheleza kukuza maisha ya mkulima kutokana na sababu kuwa zao hili la biashara huchukua muda mfupi toka kuotesha hadi kuvuna. Zao hili linalotumika kama kiungo cha chakula katika mapishi ya vyakula mbalimbali kama nyama, supu au mchuzi linafaa kulimwa wakati wowote na katika maeneo mengi ya Tanzania hususani mikoa ya Mbeya na Iringa.…

Soma Zaidi

- Mifugo

Soko la mbogamboga hutokana na uzalishaji makini

Soko ni mahali au njia ambayo muuzaji na mnunuzi hukutana na kubadilishana mali au huduma. Ni fursa ya kuuaza na kununua.  Kwa kawaida tunapozungumzia soko, tunagusia mambo kadha wa kadha, ikiwa ni pamoja na ukubwa wake, yaani wingi wa wauzaji na wanunuzi katika soko husika, ushindani, washindani, bidhaa na bei zake, changamoto, pamoja na mabadiliko yanayotegemewa. Kwa upande mwingine, tunaweza…

Soma Zaidi

- Mifugo

Fahamu wadudu wasumbufu katika ufugaji wa kuku

Ufugaji wa kuku ni moja ya sekta ambayo imekuwa na faida kwa wafugaji walio wengi, na hata watu ambao wanafanya shughuli nyinginezo, lakini bado hujishughulisha na ufugaji wa kuku. Pamoja na aina hii ya ufugaji kuwa na mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kuwatengenezea wafugaji kipato kikubwa, bado inakumbwa na changamoto mbalimbali.  Mojawapo ya changamoto hizo ni pamoja na uwepo…

Soma Zaidi

- Mifugo

Ugonjwa wa ng’ombe wa mapele ngozi

Ugonjwa wa mepele ngozi, ni ugonjwa unaosababishwa na virusi vijulikanavyo kisayansi kwa jina la Capri poxvirus. Takribani asilimia 5 hadi 50 ya ng’ombe katika kundi wanaweza kupatwa na ugonjwa huu, ambapo ng’ombe wa umri wowote anaweza kupatwa na ugonjwa huu. Ugonjwa wa mapele ngozi hauambukizwi kwa binadamu. Chanzo cha maambukizi na namna ugonjwa unavyoenea Maji maji yanayotoka kwenye vidonda na…

Soma Zaidi

- Mifugo

Tuelimishane kuhusu mradi wa samaki kwa uzalishaji wenye tija

Ni mazingira gani yanafaa zaidi kwa ufugaji wa samaki! Emma Peter anauliza: Nimefuatilia sana huu ujasiriamali kweli nimevutiwa na ningependa kujaribu kufanya. Nina eneo Rukwa lenye maji yakutosha ya asili takribani mita za mraba 2000, naomba ushauri wako Musa, Jinsi ya kuandaa hayo mabwawa na wapi nitapata samaki hasa sato maeneo ya Mbeya au karibu na Rukwa. Musa Said anajibu:…

Soma Zaidi