Mifugo

- Mifugo

Lishe sahihi kwa mbuzi wa maziwa

Mbuzi wa maziwa ni aina ya mbuzi ambao hufugwa kwa lengo kubwa la kupata maziwa. Mbuzi hawa wapo wa aina mbalimbali kama vile, Saanen (Switzerland), Norwegian (Norway), Toggenburg (Switzerland), Anglonubian (Chotara kutoka Misri, Sudan, India na Switzerland), Alpine (Ufaransa na Switzerland) na wote hawa wanapatikana Tanzania. Ulishaji sahihi wa mbuzi wa maziwa ni lazima uzingatie mambo makuu yafuatayo; Lishe bora…

Soma Zaidi

- Kilimo, Kilimo Biashara, Masoko, Mifugo

Soko la mbogamboga hutokana na uzalishaji

Soko ni mahali au njia ambayo muuzaji na mnunuzi hukutana na kubadilishana mali au huduma. Ni fursa ya kuuza na kununua. Kwa kawaida tunapozungumzia soko, tunagusia mambo kadha wa kadha, ikiwa ni pamoja na ukubwa wake, yaani wingi wa wauzaji na wanunuzi katika soko husika, ushindani, washindani, bidhaa na bei zake, changamoto, pamoja na mabadiliko yanayotegemewa. Kwa upande mwingine, tunaweza…

Soma Zaidi

- Mifugo

ADVERTISEMENT FOR THE VACANCIES OF DATA ENUMERATORS

TERMS OF REFERENCE FOR THE RECRUITMENT OF DATA ENUMERATORS FOR THE END OF PHASE EVALUATION OF THE MKULIMA MBUNIFU (MKM) PROJECT ADVERTISEMENT FOR THE VACANCIES OF DATA ENUMERATORS Mkulima Mbunifu (MkM) a Project implemented under the Sustainable Agriculture Tanzania (SAT) in partnership with Biovision Africa Trust (BvAT), seeks to recruit competent and highly motivated Data Enumerators for the end of…

Soma Zaidi

- Mifugo

Nawezaje kutunza g’ombe na kukabilina na magonjwa

Bila matunzo mazuri na kuzingatia kanuni za ufugaji, mfugaji hawezi kupata faida na kufikia malengo yake. Shauriana na wataalamu unapoona kuna jambo linalokutatiza. Ufugaji hasa wa ng’ombe wa maziwa ni shughuli ambayo imejipatia umaarufu kwa kiasi kikubwa sana katika jamii mbalimbali, maeneo ya vijijini na hata mijini. Pamoja na shughuli hii kuwa maarufu na yenye faida, kuna changamoto mbalimbali zinazoambatana…

Soma Zaidi

- Mifugo

Homa ya nguruwe ni ugonjwa hatari wa nguruwe unaosababishwa na virusi aina ya African Swine Fever vinavyoshambulia na kuharibu mfumo wa damu. Virusi vinavyosababisha homa ya nguruwe haviambukizi binadamu. Virusi vinavyosababisha homa ya nguruwe huishi kwenye miili ya ngiri bila kusababisha ugonjwa. Kupe laini walioko katika mashimo wanamoishi ngiri, hupata virusi vya homa ya nguruwe wanaponyonya damu kutoka kwa ngiri…

Soma Zaidi

- Mifugo

Matayarisho ya viuatilifu vya asili ya mboga au madini

Pale ambapo mbinu bora za kilimo zimetumika ipasavyo na bado kuna changamoto za wadudu na magonjwa, hakuna budi viuatilifu vya kilimo hai vikatumika au kwa kununua au kutayarishwa na wakulima wenyewe. Viuatilifu ni moja ya pembejeo muhimu ya kilimo, kwani inasaidia katika ukizaji wa mazao haswa pale yanaposhambuliwa na magojwa pia wadudu wasumbufu. Mkulima unaweza kuzuia wadudu kwa kutumia mimea…

Soma Zaidi

- Mifugo

Punda anahitaji kutunzwa kama mifugo mingine

Punda ni mnyama anayefugwa na wengi lengo likiwa kutumika kutoa msaada wa nguvu kazi nyumbani hasa kwa kuwa njia nzuri ya kubebea mizigo. Mnyama huyu ambaye hutumiwa hasa na kina mama na watoto wa jamii ya kimasai na nyinginezo kwa ajili ya kubebea maji, kuni, majani, kupelekea mizigo sokoni na shughuli zote zile za nyumbani amekuwa hana thamani kama waliyonayo…

Soma Zaidi

- Mifugo

Fahamu wadudu wasumbufu katika ufugaji wa kuku

Ufugaji wa kuku ni moja ya sekta ambayo imekuwa na faida kwa wafugaji walio wengi, na hata watu ambao wanafanya shughuli nyinginezo, lakini bado hujishughulisha na ufugaji wa kuku. Pamoja na aina hii ya ufugaji kuwa na mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kuwatengenezea wafugaji kipato kikubwa, bado inakumbwa na changamoto mbalimbali.  Mojawapo ya changamoto hizo ni pamoja na uwepo…

Soma Zaidi

- Mifugo

Zingatia kanuni za kilimo hai katika shamba la kuku ili kuzalisha chakula salama

Kuna njia kadhaa za kuongeza idadi ya kuku kama vile kununua kuku wakubwa, kununua vifaranga kutoka kwa wafugaji wengine, kuzalisha vifaranga kutokana na kuku waliokomaa au kutotoa kwa kutumia mashine ya inkubeta. Mbinu inategemea uwezo na uzoefu wa mfugaji. Kila mfugaji angependa kupanua kiasi ya ufugaji wa kuku na kujiongezea kipato. kutokana na mauzo ya kuku au mayai. Kufuga kuku…

Soma Zaidi