Mazingira

- Mazingira

Kuna umuhimu gani wa kutumia majivu kwenye udongo?

Majivu yana kiwango cha wastani wa madini kwa mgawanyiko tofauti, potasiamu 5% – 7%, kalishamu 25% – 50%, fosiforasi 1.5% – 2% na madini mengine kwa kiasi kidogo. Pia mabaki ya chenga za mkaa kwenye majivu yanasaidia sana kunyonya baadhi ya sumu kwenye ardhi. Matumizi Tumia kiasi cha kilo 2.5 mpaka 5 kitumike kwenye eneo la mita za mraba 33…

Soma Zaidi