Mazingira

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Mazingira, Mifugo, Mimea, Redio, Shuhuda, Usindikaji

HERI YA MWAKA MPYA WA 2022

Heri ya mwaka mpya 2022 Ni matumaini yetu kuwa sote tumevuka salama na tumejiandaa vyema katika kuukabili tena mwaka huu kwa kishindo katika kilimo na ufugaji ili kuongeza tija na kukuza uchumi lakini pia tukizalisha kwa misingi ya kilimo hai kwa ajili ya kulinda afya zetu, wanyama, mazingira na mimea. Ni hakika, mwaka uliopita haukuwa mbaya sana kwani pamoja na…

Soma Zaidi

- Kilimo, Mazingira, Udongo

Namna bora ya uhifadhi wa shamba

Shamba ni eneo ambalo mkulima anaweza akalitumia kwa shughuli mbalimbali za uzalishaji kama vile ufugaji na kilimo kwa lengo la kujipatia chakula na pato. Hata hivyo, baadhi ya wakulima nchini hawana elimu ya kutosha ya namna bora ya kutunz shamba, hivyo kushindwa kuzalisha mazao bora, mengi na yenye tija. Bila shamba hakuna uzalishaji na shamba bila utunzaji hakuna uzalishaji pia…

Soma Zaidi

- Kilimo, Udongo

Fahamu udongo wako ili kuboresha usimamizi wa rutuba

Kuna virutubisho ambavyo ni muhimu kwa ukuaji wa mmea. Upungufu wa mojawapo ya virutubishi hivi muhimu utapunguza ukuaji wa mimea. Mavuno yanategemea kiwango cha virutubisho muhimu kwa mmea. Mimea yote hutegemea vitu muhimu kukua vizuri. Vitu hivi vinaweza kugawanywa mara mbili; Vitu vya madini, kupitia udongo. Vitu visivyo vya madini: haidrojeni, oksijeni, na kaboni ambazo zinapatikana kwa wingi katika anga…

Soma Zaidi

- Kilimo, Udongo

Unaliandaaje shamba lako kwa msimu wa kilimo?

Kama ni mkulima wa kilimo hai, ulishawahi kujiuliza shamba lako utaliandaaje kwa msimu wa kilimo? Yaani umelima mazao, umevuna na shamba limebaki wazi, kama utahitaji kuotesha tena msimu ujao unaliandaaje ili uweze kuotesha na kupata mavuno bora? Angalia picha hapa chini? Mkulima toka Karatu Bw. Elibaraka aliweka shamba lake aina mbalimbali za mbolea ya asili kabla ya kulima. Wewe Je,…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Mazingira, Mifugo, Udongo

Mimi nasoma Jarida la Mkulima Mbunifu, wewe Je?

Hebu tazama tabasamu la mama huyu usoni, mara tu aonapo jarida la Mkulima Mbunifu na azidi pale anapokutana na taarifa muhimu kwake? Ni furaha iliyoje? Hebu na wewe kuwa mmojawapo wa wanufaika wa jarida hili, nakuahidi hutajutia….. Jarida pekee lililosheheni taarifa za kilimo hai, ufugaji wa mifugo aina mbalimbali, utunzaji wa udongo, mazingira na afya ya mwadamau kwa ujumla…… Mkulima…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Mazingira, Mifugo, Mimea, Redio, Shuhuda, Usindikaji

TUNAOMBA RADHI KWA KUCHELEWA KUTUMA JARIDA LA OKTOBA

Habari ndugu msomaji wa jarida la Mkulima Mbunifu. Ni matumaini yetu kuwa uko salama na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku. Tunaomba radhi kwa kuchelewa kukutumia nakala yako ya jarida la Mkulima Mbunifu. Hii ni kutokana na kuwepo kwa changamoto kidogo zilizokuwa nje ya uwezo wetu ambazo zimepelekea kusindwa kuchapisha nakala ya mwezi Oktoba kwa wakati. Jarida hili…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Masoko, Mazingira, Mifugo, Mimea, Redio, Shuhuda, Udongo, Usindikaji

Tunaomba radhi kwa kutokusikika hewani

Ndugu msikilizaji na mfuatiliaji wa vipindi vya radio vya Mkulima Mbunifu/SAT, tunaomba radhi kutokana na kipindi chetu kilichokusudiwa kurushwa hewasi siku ya jumamosi tarehe 30 Oktoba 2021 kutokusikika. Hii ni kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu. Sasa kipindi hicho cha kilimo kilichokuwa kinahusu kilimo mseto na kilimo cha mzunguko wa mazao kitarushwa upya siku ya jumamosi ya tarehe…

Soma Zaidi