- Binadamu, Mimea

Tumia mazao funikizi kwa chakula na kulisha mifugo

Sambaza chapisho hili

Mazao funikizi siyo mageni sana kwa wakulima walio wengi isipokuwa kwa wale ambao ndio kwanza wanaanza kujiingiza katika kilimo hifadhi.

Si mazao yote funikizi yanayoweza kutumika kulishia mifugo moja kwa moja mara baada ya kuvuna kutoka shambani. Mengine ni lazima yafanyiwe maandalizi fulani ndipo yatumike kulishia.

Mazao funikizi kama vile, canavalia yanahitajika kukaushwa kwanza na kuandaliwa vyema kabla ya kulisha mifugo.

Aina mbalimbali ya mazao funikizi yanaweza kutumika kama chakula cha binadamu na lishe kwa mifugo. Mifugo inaweza kulishwa malisho ya aina mbalimbali moja kwa moja ingawa ni vyema zaidi kukausha baadhi kama vile jackbean na sunn hemp kabla ya kulisha mifugo.

Mbegu zitokanazo na cowpeas, lablab, Lucerne na pigeonpea yanaweza kupikwa na kuliwa kama chakula cha binadamu. Hata hivyo, kuna aina nyingine kama vile Mucuna ambayo ni vyema kufanyiwa maandalizi sahihi ili kuondoa sumu kabla ya kutumia.

Namna ya kuandaa mucuna kwa ajili ya chakula

Mbegu za mucuna zina nutrition nyingi sana na huweza kutumiwa kulisha mifugo kama vile ng

Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *