Redio

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Mazingira, Mifugo, Mimea, Redio, Usindikaji

Miaka 10 ya huduma kwa wakulima wadogo

Maoni kutoka kwa wakulima yanaonyesha kuwa wakulima wadogo wana hamu ya kujifunza njia mpya na endelevu za kilimo ambazo zinaboresha mapato yao. Inaonyesha kwamba wanatambua na kuthamini mchango wa MkM katika kuendeleza na kupanua kilimo biashara na kutunza mazingira. Tangu kuanzishwa kwa jarida hili mnamo Julai 2011, Mkulima Mbunifu, maarufu kwa wakulima kama MkM limejikita katika kuwaelimisha wakulima kuthamini msingi…

Soma Zaidi

- Redio

Sikiliza Makala ya Redio Kuhusu Mkulima Mbunifu

Madhumuni ya kipindi hiki ni kukuelimisha kuhusu Kilimo Endelevu na mfumo wa uzalishaji unaohakikisha uendelevu katika kilimo, na kuongeza kipato hasa kwa wakulima wadogo ambao ni idadi kubwa humu nchini. Hii ikiwa ni pamoja na Kilimo hai. Mkulima Mbunifu ni jarida la kila mwezi linaloangazia mbinu na teknologia za kilimo endelevu cha kiikolojia, uzalishaji wa kilimo hai na kuboresha maisha…

Soma Zaidi