Mifugo

- Mifugo

Fahamu vitamini na madini za kujenga kinga ya mwili

Vitamini na madini yanafanya kazi ya kujenga kinga ya mwili, na yanapatikana katika mboga na matunda. Ni muhimu kwa makundi ya watu kama watoto, mama wajamzito, mama anaenyonyesha na wazee, kwani huzuia na kusaidia kupambana na maambukizi ya magonjwa. Watu wengi hawali chakula cha kutosha chenye mboga na matunda, pamoja na vyakula vingine ambavyo ni vyanzo vya vitamini na madini.…

Soma Zaidi

- Mifugo

Fahamu vyakula bora ambavyo unaweza kulisha kuku

Mkulima Mbunifu limekuwa mara kwa mara likichapisha taarifa za kina kuhusu ufugaji bora wa kuku, ikiwa ni pamoja na matunzo yake. Mara nyingi makala hizo zimekuwa zikilenga kuku wa asili na namna ya kukabiliana na changamoto zinazowakumba wafugaji. Hatua kwa hatua makala hizo zimeweza kuwasaidia wafugaji na hatimae kuwa na ufanisi. Katika muktadha huo huo, makala hii itamsaidia mfugaji kuweza…

Soma Zaidi

- Mifugo

Fahamu kuhusu kabeji za kichina (Chainizi)

        Kabeji ya kichina kwa miaka mingi ilikuwa inalimwa na kuliwa sana katika nchi za China, India na Japani. Ikijulikana kwa majina ya common choy, pak choy na gai choy au Indian mustard. Miaka ya karibu mboga hii ya majani imepata umaarufu katika nchi yetu na hulimwa kwa ajili ya kuboresha lishe na kama zao la biashara,…

Soma Zaidi

- Mifugo

Je, unafahamu faida lishe za mboga ya sukumawiki (Kale)?

Sukuma wiki ni mboga ambayo ina umaarufu sana Tanzania katika mboga za majani. Hulimwa katika bustani kwa ajili ya matumizi ya familia na pia kibiashara. Viini lishe Sukuma wiki huliwa kama mboga ya majani na ina viini lishe vifuatavyo:- Madini ya chuma Vitamin A, B na C Nyuzi nyingi- fiber Wanga/kalori Hakikisha unafuatilia makala zote za Mkulima Mbunifu kupata elimu…

Soma Zaidi

- Mifugo

Fahamu makundi ya dawa salama za kuogesha mifugo

Magonjwa yaenezwayo na kupe yanasababisha zaidi ya asilimia sabini na mbili (72%) ya vifo vyote vya ng’ombe vinavyotokea kila mwaka. Magonjwa hayo ni Ndigana Kali (East Coast Fever – ECF), Ndigana Baridi (Anaplasmosis), Mkojo Mwekundu (Babesiosis) na Maji ya Moyo (Heartwater). Aidha magonjwa hayo hulisababishia taifa hasara ya takribani shilingi za kitanzania bilioni mia nane na kumi na tano (815,000,000,000/=)…

Soma Zaidi

- Mifugo

Fahamu kuhusu karanga lozi na faida zake kiafya

Almonds au lozi ni jamii ya karanga zinazovunwa kutoka katika miti mikubwa kama ya mikorosho na karanga hizi ni lishe ambayo inaweza kutumika kwa kupikia au kula kama zilivyo. Asilimia thelathini ya lozi duniani hupandwa huko Califonia kutokana na kupenda hali ya hewa ya Mediterranean. Aidha, huliwa zaidi maeneo ya kusini mwa Ulaya, Kaskazini mwa Afrika, na baadhi ya nchi…

Soma Zaidi

- Mifugo

Je, unafahamu sababu za kuku kutaga mayai madogo!

Jarida hili limekuwa mstari wa mbele katika kukudondolea mada mbalimbali zenye tija katika nyanja za ufugaji na kilimo. Mara nyingi mada hizo hujikita katika njia zinazotumika kuzalisha kiasili. Katika toleo hili tutakudondolea moja wapo ya changamoto zinazowakabili wafugaji wa kuku na namna ya kuondokana na changamoto hizo. Zifuatazo ni sababu au hali inayowakumba kuku na kusababisha kuku kutaga mayai yanayoonekana…

Soma Zaidi

- Mifugo

Fahamu na uzingatie kanuni bora za ufugaji wa mbuzi na kondoo

Uchaguzi wa Mbuzi/Kondoo wa Kufuga Madhumuni ya kuchagua mbuzi au kondoo wa kufuga ni kuboresha uzalishaji na kuendeleza kizazi bora. Kuna aina nyingi za mbuzi/kondoo wanaoweza kufugwa kulingana na mazingira na mahitaji ya mfugaji. Uchaguzi hufanyika kwa kuangalia umbile, uzalishaji na kumbukumbu za wazazi kama vile umbo kubwa, ukuaji wa haraka, uwezo wa kutunza vitoto na kutoa maziwa mengi. Mbuzi/kondoo…

Soma Zaidi

- Mifugo

Ni muhimu kutambua minyoo inayoshambulia mazao

Mara nyingi tumekuwa tukizungumza kuhusu wadudu rafiki na halikadhalika kuweka wazi kuhusu wadudu wanaoshambulia mazao. Katika toleo hili tutajifunza kuhusu minyoo inayoshambulia mazao. Ipo minyoo ya aina nyingi ambayo inafaida katika urutubishaji wa udongo na mingine ambayo ina madhara kwa mimea, wanyama pamoja na binadamu. Minyoo hutofautiana kwa ukubwa wa maumbile, mfano ipo inayoonekana kwa macho ya kawaida na ile…

Soma Zaidi