SAT seeks to recruit a consultant to support MkM project to carry out a rapid progress evaluation for the implementation period running from January 2023 – June 2024. CLICK THE LINK HERE https://mkulimambunifu.org/wp-content/uploads/elementor/20240429_TOR-for-Evaluation-Consultant_1.pdf
Kutuhusu
FOATZ ni moja ya shirika linalowawezesha wakulima kupitia majarida ya Mkulima Mbunifu
Mashirika mbalimbali yakiwepo ya Umma, taasisi binafsi wamekuwa wakitumia majarida ya Mkulima Mbunifu katika kutoa elimu ya uzalishaji kwa misingi ya kilimo hai kwa wakulima wao jamno ambalo limeleta chachu katika usambazaji wa taarifa za kilimo huku ikiwapa wakulima matokeo chanya katika uzalishaji. Moja ya shirika linalojivunia jarida la Mkulima Mbunifu ni shirika la FOATZ FUNGUA HAPA KUJUA ZAIDI Organic…
WEBSITE DESIGNER
Terms of Reference: Updating Mkulima Mbunifu Website – www.mkulimambunifu.org About Mkulima Mbunifu (MkM) Mkulima Mbunifu (MkM) Magazine is a Farmer Communication Programme project that is implemented in Tanzania since July 2011 with support from Biovision Foundation, Switzerland and Biovision Africa Trust (BvAT), Nairobi, Kenya. The publication aims to provide information to smallholder farmers to enable them adopt improved sustainable agriculture…
Taarifa: Mkulima Mbunifu ni mara moja kwa miezi miwili tangu sasa
Mwaka umeanza ukiwa na baraka tele na habari njema kwa wakulima na wasomaji kwa ujumla. Kuanzia mwezi huu jarida lako ulipendalo la Mkulima Mbunifu (MkM) litakuwa likichapishwa na kuletwa kwako kila baada ya miezi miwili. Tangu jarida hili lilipozinduliwa mwezi Julai 2011, limekuwa likichapishwa na kusambazwa kwa wakulima kila baada ya miezi miwili. Hata hivyo sababu ilikua ni kujenga msingi…
NANE NANE 2022, UNAKOSAJE MAONYESHO HAYA, MKULIMA MBUNIFU KAMA KAWAIDA YETU TUTAKUWEPO KUKUJUZA KUHUSU KILIMO NA UFUGAJI
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, nane nane hiyoo imekaribia. Nchini Tanzania, kila mwaka, wakulima na wafugaji hujumuika kwa pamoja kwa muda wa siku takribani kumi kuadhimisha sikukuu ya wakulima nchini. Sherehe hizi hufikia kilele siku ya tarehe nane mwezi wa nane. Katika kipindi hiki wadau mbalimbali wa kilimo, huandaa mazao na bidhaa mbalimbali za kilimo kwa ajili kushirikisha bunifu mbalimbali na…
Maswali toka kwa wasomaji wa Mkulima Mbunifu kwa njia ya simu
Ndugu msomaji wa jarida la Mkulima Mbunifu, ni furaha yetu kuwa umeendelea kufuatilia na kusoma makala mbalimbali zinazochapishwa kwenye jarida hili. Pia tunashukuru wewe uliefatilia na kutaka kufahamu kwa undani kwa kuuliza maswali pale ambapo hujaelewa ama umekwama. Pia tunashukuru kwa mchango wako katika kutekeleza kilimo hai. Katika makala hii ni baadhi tu ya maswali yaliyoulizwa na wakulima wasomaji wa…
HERI YA MWAKA MPYA WA 2022
Heri ya mwaka mpya 2022 Ni matumaini yetu kuwa sote tumevuka salama na tumejiandaa vyema katika kuukabili tena mwaka huu kwa kishindo katika kilimo na ufugaji ili kuongeza tija na kukuza uchumi lakini pia tukizalisha kwa misingi ya kilimo hai kwa ajili ya kulinda afya zetu, wanyama, mazingira na mimea. Ni hakika, mwaka uliopita haukuwa mbaya sana kwani pamoja na…
Uzalishaji wa malisho
Bonyeza hapa na sikiliza kuhusu malisho aina ya matete na faida zake
TUNAOMBA RADHI KWA KUCHELEWA KUTUMA JARIDA LA OKTOBA
Habari ndugu msomaji wa jarida la Mkulima Mbunifu. Ni matumaini yetu kuwa uko salama na unaendelea vyema na majukumu yako ya kila siku. Tunaomba radhi kwa kuchelewa kukutumia nakala yako ya jarida la Mkulima Mbunifu. Hii ni kutokana na kuwepo kwa changamoto kidogo zilizokuwa nje ya uwezo wetu ambazo zimepelekea kusindwa kuchapisha nakala ya mwezi Oktoba kwa wakati. Jarida hili…







