Kilimo

- Kilimo, Kilimo Biashara, Masoko, Mifugo

Soko la mbogamboga hutokana na uzalishaji

Soko ni mahali au njia ambayo muuzaji na mnunuzi hukutana na kubadilishana mali au huduma. Ni fursa ya kuuza na kununua. Kwa kawaida tunapozungumzia soko, tunagusia mambo kadha wa kadha, ikiwa ni pamoja na ukubwa wake, yaani wingi wa wauzaji na wanunuzi katika soko husika, ushindani, washindani, bidhaa na bei zake, changamoto, pamoja na mabadiliko yanayotegemewa. Kwa upande mwingine, tunaweza…

Soma Zaidi

- Kilimo

Hakikisha unafahamu namna ya kupata mbegu bora kwa mavuno yenye tija

Hasara inayotokana na ununuzi wa mbegu isiyokuwa na ubora ni pamoja na upotevu wa pesa walizotumia kununua mbegu, kuandaa shamba, nguvu kazi iliyotumika kupanda pamoja na muda ambao ungeweza kutumika kwa mambo mengine ya maendeleo. Mbali na hayo, hali hiyo pia inaashiria hali ya hatari hapo baadaye ambayo inatokana na ukosefu wa mavuno ambayo yangetumika kwa ajili ya chakula pamoja…

Soma Zaidi

- Kilimo

Benki za mbegu za asili zinazosimamiwa na jamii

Sekta ya kilimo nchini inachangia takribani asilimia 26 ya pato la taifa na kuajiri asilimia 75 ya idadi ya watu huku ikisaidia kuongeza mapato na kuboresha maisha. Katika kuhakikisha wakulima wanaweza kuongeza uzalishaji mbegu na mavuno mengi, serikali kupitia waziri wa kilimo, Hussein Bashe wakati akiwasilisha bajeti ya wizara mwaka 2022- 2023 bungeni alisema, mikakati yao ni kuwa na benki…

Soma Zaidi

- Kilimo, Udongo

Mbinu za uhifadhi wa udongo wa kilimo na mimea

Udongo ni sehemu kubwa ya kilimo. Tunaweza kusema bila udongo hakuna kilimo lakini bila bila udongo wenye rutuba hakuna mavuno bora. Mara nyingi mvua, upepo na matumizi ya mbolea za viwandani, uharibifu wa mazingira kama kukata miti, wanyama n ahata shughuli zingine za kibinadamu ndiyo hupelekea kuharibika kwa udongo. Kuna njia nyingi za zinazotumia kilimo za kuhifadhi udongo na maji…

Soma Zaidi

- Kilimo

Yafahamu magonjwa ya mimea ili kuyadhibiti

Mkakati mzuri kwa wakulima wanaozingatia ikolojia ni kujifunza na kuelewa sababu ya magonjwa, athari zake ili kuweza kukabiliana nayo. Hii inasaidia kulinda mazao ya mimea, kudumisha usalama wa uzalishaji wa chakula. Kwa kawaida, ni ngumu kuzuia ama kurekebisha tatizo ikiwa haujaelewa tatizo lenyewe. Ndio maana wakulima wanashauriwa kuwa makini shambani kutambua kwa haraka uvamizi wa wadudu na pia magonjwa. Maana…

Soma Zaidi

- Kilimo

Kilimo cha parachichi kimenikomboa kiuchumi

Jina langu ni Bruno Edward, mkulima kutoka mtaa wa Maheve, mkoa wa Njombe. Mimi ni msomaji wa gazeti la Mkulima Mbunifu ambalo nililipata kutoka kwa jirani yangu ambae anapokea majarida kutoka shirika la CARITAS, jimboni katoliki. Mimi ni mkulima wa parachichi. Niliona makala ya kilimo cha parachichi katika gazeti, nikavutiwa kusoma kwa umakini zaidi. Nilianza kilimo nikifanya kazi kama msimamizi…

Soma Zaidi

650
- Kilimo

Parachichi ni tunda lenye faida za lishe na kiuchumi

Parachichi limekuwa tunda mbadala na la kuvutia kwa wakulima wanaopanda miti ya matunda, na kuonyesha uwezo mkubwa kwa wakulima kupata mapato bora. m Parachichi ni zao linaloonekana kuwa na faida kubwa hasa kipesa na hata kiafya kwani lina vitamin A, C na mafuta kwa wingi. Uhitaji wake umekuwa kwa kasi sana hapa Tanzania. Hii imetokana na kuwepo kwa kampuni za…

Soma Zaidi

- Kilimo, Kilimo Biashara

Ahamasika kufanya kilimo hai baada ya kusoma jarida la MkM

‘’Nimejifunza mambo mengi toka jarida la Mkulima Mbunifu hasa kuzalisha kwa misingi ya kilimo hai na nimeweza kutekeleza kwa vitendo ili wengine wajifunze kutoka kwangu”. Hayo ni maneno ya Bw. Kastuli Paulo toka kijiji cha Tumati, Wilaya ya Mbulu (Arusha), mkulima wa kilimo hai ambaye anajishughulisha na uzalishaji wa mazao mbalimbali kama vile viazi mviringo, mboga za majani ikiwamo chainizi,…

Soma Zaidi