MKULIMA MBUNIFU TUKO PAMOJA NA WEWE
TUSHIRIKISHE CHANGAMOTO UNAZOKUMBANA NAZO KATIKA KILIMO NA UFUGAJI MSIMU HUU WA MVUA
Huu ni msimu wa mvua katika maeneo mengi nchini. Bila shaka wengi wetu ni wakulima na wafugaji hivyo bado tunaendelea na shughuli zetu za kila siku. Je, ni changamoto zipi unazopitia katika msimu huu wa mvua kwenye shughuli zako za kila siku za kilimo?Tushirikishe/tueleze/Tuulize ili tuweze kupeana ushauri nini chakufanyaTuma ujumbe wako hapahapa au kupitia namba 0762 333 876 au…
Mchanganyiko sahihi wa lishe/chakula cha kuku kwa kuzingatia gharama nafuu
Hili ni swali alilouliza mkulima Nelson Shao. Habari Nelson , Karibu sana Mkulima Mbunifu na hongera kwa kuendelea kufuatilia na kusoma makala mbalimbali za Mkulima Mbunifu. Kuhusu chakula cha kuku unaweza kutengeneza mwenye kama ifuatavyo; Malighafi aina ya kwanza na kiwango Mahindi kilogramu 40 Pumba ya mahindi kilogramu 25, Mtama kilogramu 5 Mashudu ya alizeti kilogramu 10 Dagaa kilogramu 4…
VACANCY: TERMS OF REFERENCE FOR MKULIMA MBUNIFU (MKM) INTERNAL EVALUATION CONSULTANT
SAT seeks to recruit a consultant to support MkM project to carry out a rapid progress evaluation for the implementation period running from January 2023 – June 2024. CLICK THE LINK HERE https://mkulimambunifu.org/wp-content/uploads/elementor/20240429_TOR-for-Evaluation-Consultant_1.pdf
Fahamu kuhusu wadudu waharibifu wa mahindi (Viwavijeshi vamizi)
Mahindi ni zao muhimu na tegemezi kwa jamii nyingi barani Afrika. Nchini Tanzania zao hili hulimwa mikoa yote kwani ni zao tegemezi kwa chakula. Hata hivyo, zao hili lina changamoto, kwani hushambuliwa na visumbufu mbalimbali vya mimea ikiwamo viwavijeshi vamizi (Fall armyworm). Viwavi hawa hula sehemu zote za mmea majani, bua, mbegu, gunzi; pia hula aina nyingine za mimea. Umakini mkubwa unahitajika…
Tumia molasi kurejesha rutuba ya udongo
Katika kilimo, matumizi ya Molasi ni muhimu kwa kuboresha hali ya udongo, kudhibiti wadudu, kuwezesha udongo kuwa na rutuba, kurekebisha hali ya udongo na pia kupunguza matatizo kwa mimea inayopandikizwa. Matumizi na kiasi cha kutumia Kuboresha umbile la udongo. Molasi husaidia kuboresha udongo na kuunganisha chembe za udongo na chembe za rutuba na viumbe hai ardhini. Ili kuwa na matokeo…
Fuga mbuzi uongeze kipato mbadala
Mbuzi ni mnyama mdogo lakini mwenye faida kadha wa kadha na huweza kutunzwa eneo na kwa gharama ndogo. Kwa jamii nyingi za kiafrika, mbuzi kama kuku, ni moja ya mnyama anayefugwa kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Katika jamii nyinginezo, hufuga mbuzi kwa ajili ya kitoweo, maziwa na pia kuwatumia katika katika sherehe na shughuli mbalimbali za kitamaduni. Hivi sasa kumekuwa…
<iframe src=”https://ee.kobotoolbox.org/i/ySYSCHB4″ width=”800″ height=”600″></iframe>
Zalisha na kutunza malisho kwa jili ya mifugo
Majani ya malisho ya umuhimu mkubwa kwa mfugaji wa ng’ombe, mbuzi na kondoo. Bila malisho ya kutosha mfugaji atagaramika kwa kununua nyasi hasa wakati wa kiangazi. Kuwa na malisho ya kutosha inampa mkulima amani na hakikisho kwamba mifugo wake wanapata lishe ya kutosha nyakati zote. Ikiwa mfugaji hataweka mikakati ya kuzalisha na kuhifadhi malisho basi mifugo hawatakuwa wenye afya na…
Mazao ya Chakula yasiyopewa kipaumbele yenye Afya.
Mazao yasiyopewa kipaumbele yenye afya, au “Neglected and Underutilized Crops (NUS),” ni mazao ambayo mara nyingi hupuuzwa au kutotumika ipasavyo licha ya faida zao za lishe na afya. Hizi ni aina za mazao ambayo hayajapata umaarufu au uwekezaji wa kutosha katika kilimo au matumizi ya lishe, ingawa yana thamani kubwa katika kuboresha afya na lishe. Kuna sababu kadhaa zinazochangia mazao…