ufugaji wa nguruwe

- Mifugo

Namna ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa wanyama

Ufugaji ni utunzaji na uzalishaji wa mifugo kwa madhumuni ya kilimo, ikiwa ni pamoja na chakula na bidhaa zingine kutokana na mifugo. Ikifanywa ipasavyo, ni shughuli yenye uwezo mkubwa ya kumkwamua mkulima na kumpa mapato ya kutosheleza mahitaji ya kila siku. Wengi wa wakulima wadogo huunganisha ufugaji na kuzalisha mazao, ingawa baadhi ya wakulima huzingatia ufugaji pekee, ili kuwawezesha kupata…

Soma Zaidi

- Mifugo

Homa ya nguruwe ni ugonjwa hatari wa nguruwe unaosababishwa na virusi aina ya African Swine Fever vinavyoshambulia na kuharibu mfumo wa damu. Virusi vinavyosababisha homa ya nguruwe haviambukizi binadamu. Virusi vinavyosababisha homa ya nguruwe huishi kwenye miili ya ngiri bila kusababisha ugonjwa. Kupe laini walioko katika mashimo wanamoishi ngiri, hupata virusi vya homa ya nguruwe wanaponyonya damu kutoka kwa ngiri…

Soma Zaidi

- Mifugo

Chakula rahisi kwa utunzaji wa nguruwe wadogo wanaokuwa

Nguruwe ni mnyama anaeweza kuishi sehemu za vijijini kwani mijini kule wengi huwa hawapendelei sanaana ufugaji huu. Nguruwe hubeba mimba kwa muda wa miezi mitatu na wiki mbili. Ili kuwa na ufanisi na kwa gharama ndogo, mfugaji anapaswa kuzingatia matunzo na kufahamu njia sahihi za ulishaji wa nguruwe wadogo, ili waweze kukua kwa haraka. Mfugaji anaweza kutumia malighafi zifuatazo ili…

Soma Zaidi

- Mifugo

Utunzaji bora wa majike ya nguruwe

Utunzaji bora wa majike ni muhimu kwani utamuwezesha mfugaji kupata mazao mengi na bora. Majike wazazi watunzwe vizuri ili kuongeza idadi ya watoto watakaozaliwa kwa mwaka na kuongeza faida kwa mfugaji. Utunzaji bora ni kiini cha idadi ya watoto watakaozaliwa,watakaoishi na Muda wataochukua kufikia uzito  kuuza na gharama zitakazotumika. Kuchagua jike bora Mfugaji anashauriwa kuchagua nguruwe jike anayetegemewa kuwa mzazi…

Soma Zaidi

- Mifugo

Utunzaji wa nguruwe Dume

Utunzaji wa nguruwe mara nyingi hutegemea aina ya makundi ya nguruwe na mfunmo wa ufugaji. Makundi ya nguruwe ni kama madume ya mbegu, majike wazazi, watoto, na wale wanaonenepeshwa kwa ajili ya nyama au mafuta. Nguruwe wanaweza kufugwa ndani au nje ya banda, kutegemea na ukubwa wa shamba, kipato kilichopo kwa shughuli za ufugaji. Ili kuleta mafanikio na tija katika…

Soma Zaidi

- Mifugo

Soko na utayarishaji wa mazao ya nguruwe

Kwa muda mrefu na katika makala tofauti, MkM imeeleza kwa undani namna nzuri ya uzalishaji wa nguruwe bora, pamoja na lishe yake na mambo kadha wa kadha yanayohusiana na nguruwe. Katika makala hii utapata kufahamu kuhusiana na soko na namna ya utayarishaji wa mazao. Soko la mazao yatokanayo na nguruwe ni sawa na soko la mazao mengine yaliyo sokoni na…

Soma Zaidi

- Mifugo

Chakula cha nguruwe kinahitaji virutubisho sahihi

Nguruwe huhitaji kulishwa vizuri ili waweze kukua haraka na kufikia uzito wa kuchinjwa mapema. Ikiwa watatunzwa vizuri watafikia uzito wa kilo 60 hadi 90 wakiwa na umri wa miezi sita hadi tisa Nguruwe ana uwezo wa kula vyakula vya aina mbali mbali ikiwa ni pamoja na mabaki ya vyakula vya nyumbani, shambani na viwandani. Pamoja na vyakula hivyo, ni muhimu…

Soma Zaidi

- Mifugo

Aina bora ya nguruwe kwa ajili ya kufuga

Nchini Tanzania, ufugaji wa nguruwe unazidi kuongezeka siku hadi siku. Hii ni kwa sababu nguruwe ni moja kati ya mifugo inayompatia mfugaji kipato kwa haraka, kwani huzaa mara mbili kwa mwaka na kila mzao anaweza kuzaa watoto 12. Pamoja na matunzo mengine ya nguruwe ili mfugaji aweze kupata faida kama alivyokusudia, ni muhimu kufahamu sifa za nguruwe bora wa kufuga.…

Soma Zaidi

- Mazingira

Mkaa wa pumba za mchele na matumizi yake

Mkaa wa pumba za mchele hutengenezwa kwa kuchomwa kwa njia maalumu ya kisayansi asilia. Mkaa huchomwa na kuwa na rangi moja ya kikaboni (rangi nyeusi) iliyoiva vyema. Ndani ya mkaa huu kuna madini ya fosiforasi, potasi, kalshiam, magnesiam, na virutubisho vingi vya asili vinavyohitajika kwa ajili ya kupanda mazao. Mkaa huu unaweza kutumika kama sehemu mojawapo ya chakula cha nguruwe…

Soma Zaidi