samaki

- Mifugo, Samaki

Je, unayafahamu haya kwenye ufugaji wa Samaki?

Wakulima wengi hasa wanaotumia maji ya bomba wangependa kuanza ufugaji wa samaki lakini huenda kuna mambo kadha wa kadha hawafahamu kuhusu ufugaji kwa kutumia maji ya bomba. Aidha, mambo ni mengi ya kuzingatia ili kuanza ufugaji wa samaki lakini tuanze kujibu maswali haya kutoka kwa mkulima anayetaka kufanya ufugaji huu. Husein Mshegia anauliza: Natarajia kufuga samaki kwa kutumia maji ya…

Soma Zaidi

- Mifugo, Samaki

Uliza kuhusu samaki kama una changamoto unayopitia kwenye mradi wako

Kanyalo anauliza:Naomba kujua ni wakati gani ninatakiwa kubadili maji katika bwawa ikiwa maji ninayotumia ni ya kujaza? Muda wa kubalisha maji kwa kawaida siwezi kusema moja kwa moja ni baada ya muda kadhaa ila naomba unielewe kuwa uchafukaji wa maji katika bwawa inategemea na utunzaji katika bwawa lako. Mfano; ukilishia vyakula ambavyo sio sahihi kwa samaki huenda ukalazimika ukabadilisha maji…

Soma Zaidi

- Mifugo

Kutunza kumbukumbu za shamba la samaki na masoko

Kumbukumbu ambazo ni muhimu kwa ajili ya kutunzwa ni kama, ukubwa wa bwawa, idadi ya samaki, sehemu mbegu ilipochukuliwa, uzito wa mwanzo wa samaki, tarehe ya kupanda samaki, kiwango cha chakula kwa kila siku/wiki/mwezi, ubora wa maji, mahitaji ya kila siku na gharama zake , tarehe ya kuchukua sampuli, na wastani wa uzito wa samaki kwa kila mwezi. Taarifa hizi…

Soma Zaidi

- Kilimo Biashara, Samaki, Usindikaji

Namna bora ya uchakataji na uhifadhi wa samaki ili kuzuia wasiharibike

Ufugaji samaki kwa sasa umeshika kasi kutokana na ulaji kuongezeka taktibani katika maeneo yote ya nchi. Ili kuhakikisha kuwa mfugaji anaweza kufanikiwa katika hatua zote za ufugaji mpaka hatua ya kupeleka bidhaa yenye ubora ni muhimu sana kuzingatia uhifadhi. Kwanini uhifadhi wa samaki Samaki kama viumbe vingine visipohifadhiwa vizuri na katika utaratibu maalumu wa kitaalamu, ni rahisi sana kuharibika na…

Soma Zaidi

- Kilimo, Mifugo

Ufugaji mseto wa samaki na mazao mengine

Katika  ufugaji mseto wa samaki na mazao mengine mambo kadha wa kadha ni  muhimu sana kuzingatiwa ikiwa ni pamoja na kujua aina ya samaki wanaofaa kufugwa, faida za mboga na hata mifugo mingine kama kuku wanaojumuishwa katika ufugaji huu. Aina ya samaki wanaofaa katika kilimo mseto Perege na Kambale ni samaki wanaofugwa katika maeneo mabalimbali nchini Tanzania. Perege ndiyo aina…

Soma Zaidi

- Mifugo

Ongeza lishe kwa kutumia njia rahisi za ufugaji samaki

Ufugaji wa samaki ni moja ya shughuli ambazo hivi karibuni imejipatia umaarufu mkubwa sana miongoni mwa wafugaji. Kazi hii imekuwa ikifanywa na makundi mbalimbali bila kujali wanafanya shughuli gani nyingine. Kutokana na uhitaji mkubwa wa lishe inayotokana na samaki, kumekuwa na aina mbalimbali za ugunduzi unaosaidia ufugaji wa samaki kwa njia rahisi. Katika makala hii tutaeleza ugunduzi mpya wa kutengeneza…

Soma Zaidi