- Mifugo

Zingatia utunzaji wa ndama anapozaliwa

Sambaza chapisho hili

Ndama mara anapozaliwa anahitaji kupewa maziwa ya mwanzo ya mama yake, maziwa haya hujulikana kama
colostrum, na ataendelea kupatiwa maziwa haya kwa siku tatu hadi nne.

Colostrum ina virutubishi vingi vya mwili kwani ina wingi wa vitamini na madini na ni kinga dhidi ya magonjwa
mbalimbali.

 

Zaidi; Toleo lijalo

Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *