4 thoughts on “Je, unafahamu kuwa kilimo hai kinalipa

  1. Nafurahi saana kupata walau mwanga kuhusu kilimo cha vanilla
    Lakini nahitaji zaidi kujifunza

    1. Karibu sana, Ulihitaji kujifunza nini zaidi na unapatikana mkoa gani hapa Tanzania.

      1. Habari,

        Kutengeneza bustani ya miti ya matunda inawezekana na mtaji inategemea ukubwa wa eneo lako, hali ya udongo wa eneo au rutuba yake, aina ya matunda unayotaka kuotesha. Hivyo unatakiwa kutathmini kwanza ni nini unataka kufanya

Leave a Reply to JACKSON PETER Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *