15/12/2021 - Kilimo, Mazingira, Mifugo, Mimea, Udongo, UsindikajiJe, unafahamu kuwa kilimo hai kinalipa Sambaza chapisho hili https://mkulimambunifu.org/wp-content/uploads/2021/12/MkM-Spot-Video.mp4 Bonyeza hapo juu kusikiliza kuhusu kilimo hai Maoni kupitia Facebook Sambaza chapisho hili
Habari, Kutengeneza bustani ya miti ya matunda inawezekana na mtaji inategemea ukubwa wa eneo lako, hali ya udongo wa eneo au rutuba yake, aina ya matunda unayotaka kuotesha. Hivyo unatakiwa kutathmini kwanza ni nini unataka kufanya Reply
Nafurahi saana kupata walau mwanga kuhusu kilimo cha vanilla
Lakini nahitaji zaidi kujifunza
Karibu sana, Ulihitaji kujifunza nini zaidi na unapatikana mkoa gani hapa Tanzania.
natamani kujua namna ya kutengeneza bustani ya miti na mbogamboga
Na mtaji wake
Habari,
Kutengeneza bustani ya miti ya matunda inawezekana na mtaji inategemea ukubwa wa eneo lako, hali ya udongo wa eneo au rutuba yake, aina ya matunda unayotaka kuotesha. Hivyo unatakiwa kutathmini kwanza ni nini unataka kufanya