Ni matumaini yetu kuwa tumevuka wote salama na tuko tayari kuanza mwaka kwa kishindo na kwa mafanikio makubwa.
Mkulima Mbunifu tumejiandaa vyema kuendelea kufikisha elimu kwako na kwa kushirikiana na wewe katika kuhakikisha tunatatua changamoto zote za kilimo na ufugaji na kuhakikisha upatikanaji wa chakula bora na salama huku tukilinda afya zetu, afya za wanyama, afya ya mimea pamoja na kutunza mazingira yetu.
PAMOJA TUTAFIKIA MALENGO KWA USHIRIKIANO!!!
Maoni kupitia Facebook