Mifugo

- Mifugo

Nini malengo yako ya ufugaji

Katika matoleo mengine ya gazeti hili, tutaangazia mahitaji maalum kwa kila aina ya ufugaji wa mifugo ili kuhakikisha tunatembea nawe hatua kwa hatua katika kuanzisha na kukuza biashara yako. Ukiwa na swali au ungependa aina fulani ya ufugaji liangaziwe, wasiliana na MkM, na utujulishe hitaji lako ili tuendelee kushirikishana mafunzo. Ufugaji unachangia maendeleo Biashara za ufugaji hupata pesa kupitia uuzaji…

Soma Zaidi

- Mifugo

Ulishaji sahihi wa mifugo

Kulisha ni muhimu sana katika ufugaji wa mifugo, hivyo kama unajishughulisha na ufugaji wa kondoo, ng’ombe, mbuzi, na mwanyama wengine wanaokula nyasi, inashauriwa kupanda nyasi shambani mwako au karibu na eneo lako kwa sababu itasaidia kupunguza gharama zinazoweza kutokea katika utoaji wa chakula na virutubisho vingine. Ulishaji unajulikana kuwa moja ya sababu muhimu kwa ufugaji wa mifugo wenye mafanikio kwa…

Soma Zaidi

- Mifugo

Namna ya kuanzisha mradi wa ufugaji wa wanyama

Ufugaji ni utunzaji na uzalishaji wa mifugo kwa madhumuni ya kilimo, ikiwa ni pamoja na chakula na bidhaa zingine kutokana na mifugo. Ikifanywa ipasavyo, ni shughuli yenye uwezo mkubwa ya kumkwamua mkulima na kumpa mapato ya kutosheleza mahitaji ya kila siku. Wengi wa wakulima wadogo huunganisha ufugaji na kuzalisha mazao, ingawa baadhi ya wakulima huzingatia ufugaji pekee, ili kuwawezesha kupata…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Mazingira, Mifugo, Mimea, Redio, Shuhuda, Usindikaji

Taarifa: Mkulima Mbunifu ni mara moja kwa miezi miwili tangu sasa

Mwaka umeanza ukiwa na baraka tele na habari njema kwa wakulima na wasomaji kwa ujumla. Kuanzia mwezi huu jarida lako ulipendalo la Mkulima Mbunifu (MkM) litakuwa likichapishwa na kuletwa kwako kila baada ya miezi miwili. Tangu jarida hili lilipozinduliwa mwezi Julai 2011, limekuwa likichapishwa na kusambazwa kwa wakulima kila baada ya miezi miwili. Hata hivyo sababu ilikua ni kujenga msingi…

Soma Zaidi

- Kuku, Mifugo

Mikakati ya kupambana na magonjwa ya kuku ili kupunguza hasara

Magonjwa ya kuku huweza kukatiza uzalishaji kwa muda mfupi sana. Mfugaji anafaa kujenga uelewa na uzoefu wake katika kukabiliana na magonjwa mbalimbali ya kuku. Cha muhimu ni kuweka mikakati ya kuzuia na yanapotoka mfugaji achukuwe hatua za haraka ili kupunguza madhara. Kuku ni mnyama anayefugwa kwa wingi. Karibu kila kaya lina kuku wanaofugwa kwa ajili ya chakula, hii ikiwa ni…

Soma Zaidi

- Mifugo

Lishe sahihi kwa mbuzi wa maziwa

Mbuzi wa maziwa ni aina ya mbuzi ambao hufugwa kwa lengo kubwa la kupata maziwa. Mbuzi hawa wapo wa aina mbalimbali kama vile, Saanen (Switzerland), Norwegian (Norway), Toggenburg (Switzerland), Anglonubian (Chotara kutoka Misri, Sudan, India na Switzerland), Alpine (Ufaransa na Switzerland) na wote hawa wanapatikana Tanzania. Ulishaji sahihi wa mbuzi wa maziwa ni lazima uzingatie mambo makuu yafuatayo; Lishe bora…

Soma Zaidi

- Kilimo, Kilimo Biashara, Masoko, Mifugo

Soko la mbogamboga hutokana na uzalishaji

Soko ni mahali au njia ambayo muuzaji na mnunuzi hukutana na kubadilishana mali au huduma. Ni fursa ya kuuza na kununua. Kwa kawaida tunapozungumzia soko, tunagusia mambo kadha wa kadha, ikiwa ni pamoja na ukubwa wake, yaani wingi wa wauzaji na wanunuzi katika soko husika, ushindani, washindani, bidhaa na bei zake, changamoto, pamoja na mabadiliko yanayotegemewa. Kwa upande mwingine, tunaweza…

Soma Zaidi

- Mifugo

ADVERTISEMENT FOR THE VACANCIES OF DATA ENUMERATORS

TERMS OF REFERENCE FOR THE RECRUITMENT OF DATA ENUMERATORS FOR THE END OF PHASE EVALUATION OF THE MKULIMA MBUNIFU (MKM) PROJECT ADVERTISEMENT FOR THE VACANCIES OF DATA ENUMERATORS Mkulima Mbunifu (MkM) a Project implemented under the Sustainable Agriculture Tanzania (SAT) in partnership with Biovision Africa Trust (BvAT), seeks to recruit competent and highly motivated Data Enumerators for the end of…

Soma Zaidi

- Mifugo

Nawezaje kutunza g’ombe na kukabilina na magonjwa

Bila matunzo mazuri na kuzingatia kanuni za ufugaji, mfugaji hawezi kupata faida na kufikia malengo yake. Shauriana na wataalamu unapoona kuna jambo linalokutatiza. Ufugaji hasa wa ng’ombe wa maziwa ni shughuli ambayo imejipatia umaarufu kwa kiasi kikubwa sana katika jamii mbalimbali, maeneo ya vijijini na hata mijini. Pamoja na shughuli hii kuwa maarufu na yenye faida, kuna changamoto mbalimbali zinazoambatana…

Soma Zaidi

- Mifugo

Homa ya nguruwe ni ugonjwa hatari wa nguruwe unaosababishwa na virusi aina ya African Swine Fever vinavyoshambulia na kuharibu mfumo wa damu. Virusi vinavyosababisha homa ya nguruwe haviambukizi binadamu. Virusi vinavyosababisha homa ya nguruwe huishi kwenye miili ya ngiri bila kusababisha ugonjwa. Kupe laini walioko katika mashimo wanamoishi ngiri, hupata virusi vya homa ya nguruwe wanaponyonya damu kutoka kwa ngiri…

Soma Zaidi