Mifugo

- Mifugo

Sababu za kula mayai

Kula yai ni njia rahisi ya kuboresha afya yako.kiini cha yai huwa na madini ya chuma pamoja na kaLshium na ute wa yai huwa na protini za kutosha.madini ya chuma yanasaidia kuongeza damu mwilini na kalshium huimarisha mifupa.kama huna tabia ya kula yai hizi hapa sababu za kwanini ule yai; 1.kupata vitamini Yai moja huwalimejazwa vitamin ambzo ni muhimu kwa…

Soma Zaidi

- Kuku, Mifugo

Mchanganyiko sahihi wa lishe/chakula cha kuku kwa kuzingatia gharama nafuu

Hili ni swali alilouliza mkulima Nelson Shao. Habari Nelson , Karibu sana Mkulima Mbunifu na hongera kwa kuendelea kufuatilia na kusoma makala mbalimbali za Mkulima Mbunifu. Kuhusu chakula cha kuku unaweza kutengeneza mwenye kama ifuatavyo; Malighafi aina ya kwanza na kiwango Mahindi kilogramu 40 Pumba ya mahindi kilogramu 25, Mtama kilogramu 5 Mashudu ya alizeti kilogramu 10 Dagaa kilogramu 4…

Soma Zaidi

- Mifugo

Fahamu kuhusu wadudu waharibifu wa mahindi (Viwavijeshi vamizi)

Mahindi ni zao muhimu na tegemezi kwa jamii nyingi barani Afrika. Nchini Tanzania zao hili hulimwa mikoa yote kwani ni zao tegemezi kwa chakula. Hata hivyo, zao hili lina changamoto, kwani hushambuliwa na visumbufu mbalimbali vya mimea ikiwamo viwavijeshi vamizi (Fall armyworm). Viwavi hawa hula sehemu zote za mmea majani, bua, mbegu, gunzi; pia hula aina nyingine za mimea. Umakini mkubwa unahitajika…

Soma Zaidi

- Mifugo

Fuga mbuzi uongeze kipato mbadala

Mbuzi ni mnyama mdogo lakini mwenye faida kadha wa kadha na huweza kutunzwa eneo na kwa gharama ndogo. Kwa jamii nyingi za kiafrika, mbuzi kama kuku, ni moja ya mnyama anayefugwa kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Katika jamii nyinginezo, hufuga mbuzi kwa ajili ya kitoweo, maziwa na pia kuwatumia katika katika sherehe na shughuli mbalimbali za kitamaduni. Hivi sasa kumekuwa…

Soma Zaidi

- Mifugo

<iframe src=”https://ee.kobotoolbox.org/i/ySYSCHB4″ width=”800″ height=”600″></iframe>

- Mifugo

Zalisha na kutunza malisho kwa jili ya mifugo

Majani ya malisho ya umuhimu mkubwa kwa mfugaji wa ng’ombe, mbuzi na kondoo. Bila malisho ya kutosha mfugaji atagaramika kwa kununua nyasi hasa wakati wa kiangazi. Kuwa na malisho ya kutosha inampa mkulima amani na hakikisho kwamba mifugo wake wanapata lishe ya kutosha nyakati zote. Ikiwa mfugaji hataweka mikakati ya kuzalisha na kuhifadhi malisho basi mifugo hawatakuwa wenye afya na…

Soma Zaidi

- Mifugo, Samaki

Je, unayafahamu haya kwenye ufugaji wa Samaki?

Wakulima wengi hasa wanaotumia maji ya bomba wangependa kuanza ufugaji wa samaki lakini huenda kuna mambo kadha wa kadha hawafahamu kuhusu ufugaji kwa kutumia maji ya bomba. Aidha, mambo ni mengi ya kuzingatia ili kuanza ufugaji wa samaki lakini tuanze kujibu maswali haya kutoka kwa mkulima anayetaka kufanya ufugaji huu. Husein Mshegia anauliza: Natarajia kufuga samaki kwa kutumia maji ya…

Soma Zaidi

- Mifugo

Mkulima Mbunifu imeniongezea maarifa katika ufugaji wa kuku

Rose Rafael Mollel (35) nina Watoto wanne. Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji. Nilianza na kuku 10 tu ambao walinipa changamoto kuwafuga kwani kuku watatu walikufa kwa ugonjwa wa kideri. Nikajiuliza nitafanyaje sasa na sipendi kutumia madawa ya kemikali! Nikabuni chanjo ya kienyeji: tangawizi nikaisaga, matone ya myaa na chumvi kidogo nikakoroga nikawapa vijiko vitatu asubuhi na vitatu jioni.…

Soma Zaidi