Mifugo

- Mifugo

Baadhi ya mimea huboresha mboji

Ni kwa nini wakulima huchanganya aina nyingi za mimea wanapotengeneza mboji? Aina tofauti za mimea huwa na aina tofauti za virutubisho, na pia huchangia kwa kiasi kikubwa kuwezesha kuoza kwa aina nyingine za mimea hivyo kutengeneza mbolea nzuri. Unapotengeneza mboji, moja ya malengo ni kupata mboji yenye ubora wa hali ya juu, inayoweza kupatia mimea virutubisho mchanganyiko. Aina mbili za…

Soma Zaidi

- Mifugo

JOB VACANCY: Consultant to update and redesign its website

MkM is seeking to update and redesign its website to enhance the functionality, user experience, and overall performance of the Mkulima Mbunifu website (www.mkulimambunifu.org). This involves updating the WordPress Content Management System (CMS), addressing plugin compatibility issues, optimizing social media integration, implementing an email system for content distribution and newsletters, enhancing email subscription features, and facilitating language translation for a…

Soma Zaidi

- Mifugo

JOB VACANCY: MkM Intern

Mkulima Mbunifu is seeking to recruit suitably qualified intern to support MkM work in content development and distribution of MkM magazine. The intern will also support monitoring activities of the project, data management and feedback from users of knowledge products disseminated. For more information kindly follow the link below; https://mkulimambunifu.org/wp-content/uploads/elementor/TOR-for-Mkulima-Mbunifu-Intern-_2025.pdf

- Mifugo

Magonjwa yanayoathiri nguruwe

Kuna aina nyingi za magonjwa yanayoshambulia nguruwe, lakini yapo yale yaliyozoeleka ambapo ni lazima kukabiliana nayo ili kuwa na ufugaji wenye tija. Ugonjwa wa miguu na midomo Ugonjwa huu huathiri nguruwe sehemu za miguu na midomo. Ni ugonjwa ambao hushambulia nguruwe mara kwa mara hasa wasipokuwa na matunzo mazuri. Ugonjwa wa miguu na midomo, hudhoofisha nguruwe kwa haraka sana, ikiwa…

Soma Zaidi

- Kuku, Mifugo

Maswali ya wafugaji wa kuku na majibu ya wataalamu

Swali: Endapo nitachanja kuku wangu dhidi ya mdondo lakini jirani zangu hawakuchanja kuku wao, je kuku wangu hawataathirika na ugonjwa unapotokea kwa majirani? Jibu: Kinga itokanayo na chanjo hufikia kiwango cha juu kabisa siku ya 14 na endapo ugonjwa utafika kwa jirani yako wakati kuku wako wamekwisha fikia kiwango kizuri cha kinga basi ni dhahiri kwamba hawataathirika kwa ugonjwa huo.…

Soma Zaidi

- mbuzi, Mifugo, Ng'ombe

Matatizo yanayoweza kumpata ng’ombe baada ya kuzaa

Mara nyingine ng’ombe anapozaa, huweza kupatwa na matatizo machache kama vile kizazi kutoka nje, kondo la nyuma kushindwa kutoka na hata wakati mwingine kupooza miguu na kushindwa kusimama. Kushindwa kutoka kwa kondo la nyuma Kwa kawaida mara baada ya kuzaa, kondo la nyuma pamoja na majimaji yaliyobakia kwenye tumbo la uzazi hutolewa nje kutokana na msukumo wa misuli ya tumbo.…

Soma Zaidi

- Kuku, Mifugo

Ni rahisi sana kutunza kuku wa kienyeji na kupata faida kubwa

Unaweza kutunza kuku wa kienyeji na ukawa na kipato cha uhakika, pamoja na lishe nzuri kwa ajili ya familia. Ulishaji: Kuku wa kienyeji wanaweza kulishwa kwa kumia mahindi, mchele, na mabaki ya ugali. Vyakula hivi ni lazima vikaushwe vizuri na kusagwa vizuri. Ulishaji ni lazima ufanyike katika sehemu safi au kwa kutumia vyombo vilivyotengenezwa maalumu kwa ajilii ya kulishia kuku.…

Soma Zaidi

- Kuku, Mifugo

MATUNZO SAHIHI YA VIFARANGA VYA KUKU

Ni muhimu mfugaji kufahamu kuwa kifaranga wa leo ndiye kuku wa kesho atakaesababisha mafanikio yake na kufanya maisha yasonge mbele bila kikwazo. Ufugaji wa kuku ni moja ya shughuli ambayo imejipatia umaarufu kwa kiasi kikubwa sana miongoni mwa wakulima na hata wanaofanya shughuli nyinginezo tofauti na ufugaji peke yake. Ili kuwa na mafanikio ya uhakika ni muhimu kwa mfugaji kuzingatia…

Soma Zaidi