Kilimo

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kuku, Kutuhusu, Masoko, Mazingira, Mifugo, Mimea, Redio, Samaki, Shuhuda, Udongo, Usindikaji

TERMS OF REFERENCE FOR MKULIMA MBUNIFU PROJECT INTERN

Mkulima Mbunifu is seeking to recruit suitably qualified intern to support MkM work in content development and distribution of MkM magazine. The intern will also support monitoring activities of the project, data management and feedback from users of knowledge products disseminated. Mkulima Mbunifu (MkM) is a farmer information service organization based in Arusha, Tanzania, and implemented since July 2011 with…

Soma Zaidi

- Kilimo, Mifugo

Mnyororo wa ongezeko la thamani utapunguza manung’uniko

Sera ya soko huria iliyoanza kutekelezwa toka miaka ya 1990 imefungua fursa kwa wawekezaji  kuwekeza kwa wingi kwenye maeneo mbali mbali ya kibiashara. Kwa muda mrefu, Kilimo kimewavuta wawekezaji ambao wamekuwa wakijishughulisha na mashamba makubwa ili kukudhi madhumuni ya biashara ya kuzalisha kwa wingi kupunguza gharama ya kuzalisha kwa kiasi kidogo.  Pamoja na kutekelezwa kwa makubaliano baina ya wawekezaji na…

Soma Zaidi

- Kilimo, Kilimo Biashara

Maharagwe machanga hushamirisha uchumi

Hivi karibuni hapa nchini Tanzania, kumekuwa na uanzishaji na uendelezaji wa kilimo cha mazao mapya ambayo hayakuzoeleka hapo awali. Moja ya mazao hayo ni pamoja na maharagwe machanga, maarufu kama Green beans au French beans. Mbegu Inapendekezwa kutumia chotara aina ya F1. Aina hii ya mbegu imeonekana kuwa na mafanikio makubwa zaidi ikiwa ni pamoja na uwezo wa kumudu magonjwa.…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Masoko, Mazingira, Mifugo

Shiriki kongamano la pili la kiikolojia Afrika Mashariki (EAAC2025)

Shirika la Biovision Africa Trust (BvAT) ambalo ni mshirika wa MkM linaanda kongamao la kujadili maswala ya ikolojia na wakulima Afrika Mashariki. Hii ni fursa nzuri ya wakulima na wadau wa kilimo ikolojia kushirikishana njia na mbinu za kupanua na kusambaza uelewa na habari za mbinu endelevu za uzalishaji. Kongamano hili litafanyika Nairobi, Kenya, tarehe 25-28 mwezi wa Machi mwaka…

Soma Zaidi

- Kilimo, Kutuhusu, Masoko, Mifugo, Udongo

Mbolea ya mifupa, kwato na pembe

Napenda kuchangia kipengele cha matumizi ya mbolea za asili toka Jarida la mkulima mbunifu toleo la 3 Novemba 11 na Moduli ya 11. Kusanya mifupa, pembe au kwato kutoka kwenye bucha, hotelini, machinjio, mabandani na nyumbani kwako. Rundika kisha choma moto. Kwa kawaida mifupa huwaka kwa urahisi sana na kwa muda mfupi. Baada ya kuungua, acha mifupa, pembe au kwato…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara

Usitumie kemikali shambani kwako ni HATARI!

Wakulima wamekuwa wakitumia kemikali kiasi cha kutisha kwenye nyanya kwa ajili ya kudhibiti wadudu. Uzalishaji wa nyanya unaweza kuwa na faida kwa mkulima. Msimu ambao nyanya zinakuwa chache bei hupanda kwa haraka jambo linalomaanisha mkulima anapata faida zaidi. Kwa upande mwingine zao la nyanya ni rahisi sana kushambuliwa na wadudu na magonjwa. Tatizo moja kubwa la kutumia dawa za kudhibiti…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo, Kilimo Biashara, Kutuhusu, Masoko, Mazingira, Mifugo, Mimea, Redio, Shuhuda, Udongo, Usindikaji

Hakikisha unaweka mipango thabiti katika uzalishaji

Imekuwa ni kawaida kwa wakulima walio wengi kufanya shughuli zao bila kufanya maandalizi thabiti, na bila kuwa na mipango endelevu. Jambo hili ni hatari sana kwa maendeleo, hii ni kwa sababu hautaweza kufanya kazi zako kwa malengo. Utakuwa mtu wa kuchukua kila linalokuja mbele yako, na mwishowe unajikuta haujaweza kufanya jambo la maendeleo na kutokufikia malengo pia. Mwaka umeanza, endapo…

Soma Zaidi

- Kilimo

Fahamu kuhusu magonjwa ya maharage na namna ya kudhibiti

Maharagwe hushambuliwa na magonjwa kadhaa shambani, na pia huweza kuharibiwa na wadudu shambani ama wakati wa kuhifadhiwa. Kutu ya Maharagwe Ni ugonjwa unaosababishwa na ukungu na kwa kawaida hushambulia majani, shina na mifuko ya maharagwe. Dalili kuu za ugonjwa huu ni madoa yenye rangi ya kutu yenye unga ambao unaweza kuonekana kwenye majani, shina au vifuko vya mmea. Madoa yanaanza…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo

Ni muhimu kuhakikisha usalama na kuzuia upotevu wa chakula

Umakini wa uzalishaji huzuia upotevu wa chakula Upotevu wa chakula hutokea katika mnyororo mzima wa uzalishaji, kuanzia shambani hadi usambazaji kwa wauzaji rejareja hadi kwa walaji. Upotevu huo unaweza kusababishwa na ukungu shambani, wadudu, au udhibiti duni wa hali ya hewa; hasara nyingine hutokana na njia za upishi na upotevu wa chakula kwa makusudi. Upotevu wa chakula husababisha hasara kabla…

Soma Zaidi

- Kilimo

Faida ya kuzalisha kwa misingi ya kilimo ikolojia

Malengo ya kilimo ni kuzalisha chakula na bidhaa zingine ili kutosheleza mahitaji ya kaya, jamii na nchi kwa ujumla. Kufuatana na hilo, ni vyema kuhakikisha kwamba wakulima wanazalisha chakula chenye virutubisho, safi na salama kwa walaji na wote wanaotumia bidhaa zinazotokana na kilimo. Kilimo pia huchangia ajira na ustawi wa kichumi katika ngazi mbali mbali. Hivyo, tunapopanua kilimo, tunachangia malengo…

Soma Zaidi