Binadamu

- Binadamu

Athari za upungufu wa vitamini A

Kushindwa kuona vizuri hasa kunapokuwa na giza au mwanga hafifu. Ngozi kukauka au kupauka na wakati mwingine kuwa na vidonda huku nywele zikikosa afya. Kupata maambukizi ya magonjwa mara kwa mara hasa katika mfumo wa njia ya hewa na mfumo wa mkojo. Watoto wadogo kuugua surua kwa urahisi. Kudumaa kwa watoto kutokana na kukoma kukua na kuongezeka uzito. Ukuaji wa…

Soma Zaidi

- Binadamu

Kula matunda kwa wingi ili kuboresha afya yako

Tunda ni sehemu ya mmea ilio na mbegu au isio na mbegu ndani yake. Tunda ni sehemu ya chakula ambacho hujumuishwa katika lishe ya kila siku. Matunda mbalimbali huwa na virutubisho tofauti vinavyohitajika mwilini. Ulaji wa matunda unategemea na na jinsi mtu anavyopenda, kwa mfano, unaweza kula tunda lenyewe kama lilivyo ama kuchanganya na matunda mengine na hii huitwa saladi…

Soma Zaidi

- Binadamu, Usindikaji

Jifunze kutengeneza keki ya asili ya ndizi na kuongeza pato

Ndizi ni zao la chakula maarufu sana katika mikoa mbalimbali hapa nchini kama vile Kilimanjaro, Arusha, Bukoba na sehemu zingine. Mbali na chakula zao hili pia limepata umaarufu sana katika ulaji kama matunda lakini pia uzalishaji wa kaukau (crips) pamoja na unga. Aidha matumizi ya zao hii yamezidi kuongezeka na hhata sasa kuweza kutumika kutengeneza keki. Keki ya ndizi Hii…

Soma Zaidi

- Binadamu

Afya ya mwili hutengenezwa na ulaji wa chakula unaofaa wa kila siku

Chakula kinachofaa tunamaanisha ulaji unaofaa ambao ni ulaji wa chakula mchanganyiko, cha kutosha na chenye virutubisho vyote kwa uwiano unaotakiwa. Ulaji unaofaa ni lazima uzingatie matumizi ya mafuta kwa kiasi kidogo sana. Mafuta ya nyama sio mazuri kwani yanahusishwa na magonjwa ya moyo, badala yake inashauriwa kutumia zaidi mafuta yatokanayo na mimea kama vile alizeti. Matumizi ya sukari na chumvi…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo

Athari za kuzidi kwa matumizi ya vitamini A mwilini

Vitamini A ni mchanganyiko wa vyakula tofauti pamoja na baadhi ya matunda. Wataalamu wa afya wamekuwa wakisisitiza kila mmoja katika familia ale matunda na mboga za kutosha ilikupata vitamin A ya kutosha katika mlo wake kila siku, ilikuongeza kinga ya mwili, kuongeza uwezo wakufikiri na kupunguza hatari ya magonjwa. Ni kwa namna gani Vitamini A inatufanya tuwe na afya iliyobora?…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kilimo

Maharagwe ni chanzo cha protini na madini kwa watoto

Lishe ni sehemu muhimu ya afya na maendeleo. Lishe bora inahusisha kuboreshwa kwa afya ya watoto wachanga ili kuwawezehsa kukua vyema, kujenga kinga imara zaidi, kupunguza hatari ndogo ya magonjwa na kuwa na maisha marefu. Watoto wenye afya bora hujifunza mambo kwa haraka na kufanya vyema shuleni. Wanapokuwa watu wazima wana nguvu na uwezo wakujitengenezea nafasi ya kuvunja mzunguko wa…

Soma Zaidi

- Binadamu, Kuku, Mifugo

Tumia mayai ya kuku kuimarisha afya ya mama na mtoto

Mayai nichanzo kizuri cha protini ambayo ni muhimu kwa kujenga tishu za mwili. Mayai yana vitamini na madini kadhaa, ikiwa ni pamoja na choline, ambayo ni nzuri kwa ukuaji wa ubongo wa mtoto. Pamoja na faida za kula mayai, usile mayai mabichi au ambayo hayajapikwa yakaiva vizuri. Ikiwa lengo kubwa la kilimo na ufugaji ni kuhakikisha usalama wa chakula kwa…

Soma Zaidi