- Binadamu

Jikinge na vurusi vya Monkey Pox (Mpox)

Mnamo tarehe 7 Machi, 2025 Wizara ya Afya kupitia mifumo yake ya ukusanyaji wa taarifa na ufuatiliaji wa magonjwa ilipokea taarifa za uwepo wa wahisiwa wenye dalili za vipele usoni, mikononi, miguuni na sehemu nyingine za mwili. Dalili hizi ziliambatana na homa, maumivu ya kichwa, vidonda kooni, maumivu ya viungo vya mwili ikiwemo misuli na mgongo. Kati ya wahisiwa hao…

Soma Zaidi

- Mifugo, Ng'ombe

Unawezaje kutambua mnyama mwenye afya nzuri na mwenye matatizo ya kiafya?

Afya ya mifugo ni tatizo kubwa linalowakabili wafugaji walio wengi katika sehemu mbalimbali za nchi. Wapo wataalamu mbalimbali katika maeneo na mikoa yote ya nchi wanaotoa huduma ya mifugo lakini, bado kuna changamoto nyingi zinazowakumba wafugaji. Katika sehemu ambazo mawasiliano ikijumuisha pia miundo mbinu kuwa duni, wafugaji wamekuwa wakipoteza mifugo hasa kutokana na sababu kuwa mara ugonjwa unapoikumba inakuwa si…

Soma Zaidi

- Mifugo

Udhibiti wa magonjwa ya ng’ombe wa maziwa

Ugonjwa ni hali ambayo inamzuia ng’ombe kuzalisha kwa kiwango kikubwa kulingana na uwezo wake. Hii inajumuisha upatikanaji wa lishe bora na ambayo ni chanzo kikuu cha aina nyingi za yanayosumbua mifugo. Wafugaji wanafaa kuwapa mifugo wao chakula cha kutosha ili kujenga afya na kinga ya mwili na kuepukana na maradhi mengi. Ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ni shughuli muhimu kwa…

Soma Zaidi

- Mifugo

Serikali kuchanja mifugo nchi nzima

Serikali kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi mwaka huu wa 2025 itaendesha nchi nzima zoezi la uchanjaji wa Ng’ombe dhidi ya Ugonjwa wa Homa ya Mapafu (CBPP), Mbuzi na Kondoo dhidi ya Ugonjwa wa Sotoka (PPR) na Kuku dhidi ya Ugonjwa wa Mdondo/ Kideri (Newcastle disease) Gharama ya chanjo kwa Ng’ombe mmoja ni shilingi mia tano (500/=), Mbuzi/Kondoo mmoja ni…

Soma Zaidi

- Kilimo

Msomaji wa jarida la MkM atoa ushauri kwa wafugaji wa kuku

Moja ya kazi inayofanywa na Mkulima Mbunifu katika kufikisha elimu kwa wakulima, ni kutumia ujuzi na uzoefu wa wakulima na wafugajhi wengine katika kuelimisha na kushirikisha namna mbalimbali wanavyofanya na kufanikiwa katika kazi zao za uzalishaji. MkM Huu ni ushauri kutoka kwa mmoja wa wasomaji wa jarida la Mkulima Mbunifu kwa wafugaji wa kuku. “Naitwa Nicodemus Nzenga, ni mmoja kati…

Soma Zaidi

- Kilimo

Zingatia afya ya mmea ili kupata mapato mengi

Mara nyingi wakulima wanapuuza maswala yanayohusiana na nafya ya mimea na kupata hasara kubwa. Ikiwa mkulima hatawekeza muda na rasilimali, atakuwa na mimea iliyodhoofika. Ni nia ya kila mkulima kuwa na mimea yenye nguvu na afya, na yenye uwezo wa kutoa mapato ya hali ya juu. Ni lazima kuwa makini na kuzingatia mbinu zitakazowezesha kufikia lengo hili. Hivyo, swala zima…

Soma Zaidi

- Kilimo

Vuruga biocide: Kiuatilifu cha asili sasa chapatikana kwa ruzuku

Hayawi hayawi sasa yamekua. Mvumilivu, hula mbivu. Ni muda wakulima wa kilimo hai wamekua wakilalamika upatikanaji wa bidhaa za kilimo hai kwa urahisi. Serikali ya Tanzania kupitia wizara ya kilimo imepitisha kiuatilifu hai kwa jina la Vuruga. Kiuatilifu hai (VURUGA BIOCIDE) kimetengenezwa kwa vimelea asili vya fangas (A. oryzae) kwa ajili ya kudhibiti visumbufu vya mazao shambani hasa jamii ya…

Soma Zaidi

- Kilimo, Mazingira, Udongo

Jarida la MkM limetupa hamasa ya kutekeleza shughuli zetu za uzalishaji

Kuna msemo aliowahi kuutoa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuwa; “Elimu sio njia ya kuepuka umasikini bali ni njia ya kupigana na umasikini”. Msemo huu wameudhihirisha wazi na kwa vitendo wakulima wajasiriamali wa kikundi cha kusindika kitarasa ambao wametumia elimu inayotolewa na jarida la Mkulima Mbunifu kupiga vita umaskini na kufanikiwa. Kikundi hiki kinachofanya shughuli mbalimbali za uzalishaji kama vile kilimo…

Soma Zaidi

- Mifugo

Ulishaji sahihi na uangalizi wa karibu kwa mtamba anayekua ni muhimu

Kwa ajili ya kupata mtamba anayeweza kukupatia ndama kila mwaka ulishaji ni muhimu. Tengeneza mzunguko wa siku 365 Inawezekana kuwa na mzunguko wa kupata ndama na uzalishaji katika kipindi chote cha mwaka. Hii inamaanisha kwambwa ng’ombe wako anaweza kukupatia ndama kila mwaka, (siku 365). Ng’ombe ana uwezo wa kuwa kwenye joto kila baada ya siku 40-60 tangu kuzaa. Ili kumuwezesha…

Soma Zaidi

- Kilimo, Kilimo Biashara

Utengenezaji wa kiuatilifu cha asili

Kama ilivyo ada wakulima wa kilimo hai, huitaji malighafi asili ili kuzalisha mazao salama na yenye ubora shambani. Si haba, malighafi hizi zinapatikana katika maeneo yetu ya kila siku. Jiulize, Je kwa nini uingie gharama mara mbili ilhali unaweza kutatua changamoto ya wadudu kwa kutumia viuatilifu asili. Katika makala hii Mkulima Mbunifu inakuangazia, jinsi ya kutengeneza kiuatilifu cha kiasili kinachotokana…

Soma Zaidi