Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna kilimo bila maarifa na maarifa haya sisi kama Mkulima Mbunifu tukiwezeshwa na Biovision na kusimamiwa na Biovision Africa Trust (BvAT) wakishirikiana na Sustainable Agriculture Tanzania (SAT) tunasisitiza kuwa ili ufanikiwe katika uzalishaji wa mazao na mifugo, soma jarida la Mkulima Mbunifu, HAKIKA NI KISIMA CHA MAARIFA
Maoni kupitia Facebook
Mafunzo ni mazuri na nimepenedezwa nayo pia nitaomba nijifunze zaid kuhusu kilimo Cha mazao mengi ili kuweza kukuza maarifa na kukuza uchumi binafsi na nchi kwa ujumla na hata Dunia nzima
Endele kusoma kupitia kwenye tovuti hii tumeweka kilimo cha mazao karibu yote.