Ndugu msikilizaji na mfuatiliaji wa vipindi vya radio vya Mkulima Mbunifu/SAT, tunaomba radhi kutokana na kipindi chetu kilichokusudiwa kurushwa hewasi siku ya jumamosi tarehe 30 Oktoba 2021 kutokusikika. Hii ni kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo wetu.
Sasa kipindi hicho cha kilimo kilichokuwa kinahusu kilimo mseto na kilimo cha mzunguko wa mazao kitarushwa upya siku ya jumamosi ya tarehe 6 Novemba 2021 muda ule ule wa saa mbili na robo mara baada ya taarifa ya habari ya usiku na marudio yake siku ya alhamisi tarehe 11 Novemba 2021 saa tisa na nusu mchana.
Tunaomba radhi sana
Maoni kupitia Facebook