- Mifugo

Ndege wenye manufaa kwa mkulima

Sambaza chapisho hili

Ufugaji wa bata na bata mzinga hauonekana kuwa si kazi yenye manufaa sana kwa mfugaji. Ingawa ndege hawa ni rahisi sana kuwalisha kwa kuwa huwa wanakula majani na magugu ya aina nyingi. Bata mzinga wanaweza kutumika kama walinzi kwa kuwa ni wakali sana,  mtu mgeni anapoingia katika eneo lao. Bata hula wadudu kama konokono na babaje kwenye vitalu vya mbegu. Huwa hawaparui udongo kama kuku. Mbolea inayotokana na kinyesi chao ina kiwango kikubwa cha Nitrogen na Phosphorus. Aidha, ni lazima kuwepo na maji ambayo watazamisha vichwa vyao mara kwa mara kwani hawa ni ndege wa majini.

Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *