- Mifugo

Je, unafahamu faida lishe za mboga ya sukumawiki (Kale)?

Sambaza chapisho hili

Sukuma wiki ni mboga ambayo ina umaarufu sana Tanzania katika mboga za majani. Hulimwa katika bustani kwa ajili ya matumizi ya familia na pia kibiashara.

Viini lishe

Sukuma wiki huliwa kama mboga ya majani na ina viini lishe vifuatavyo:-

  1. Madini ya chuma
  2. Vitamin A, B na C
  3. Nyuzi nyingi- fiber
  4. Wanga/kalori

Hakikisha unafuatilia makala zote za Mkulima Mbunifu kupata elimu muhimu kwa ajili ya afya yako, wanyama, mazingira na udongo.

Maoni kupitia Facebook
Sambaza chapisho hili

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *